Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Nasikia wanabonda kweli mimi sijawahi vuka tier 3
Mkuu tier two hata kusurvive sijawai napanda nakula vipondo vyangu nalud zangu tier tatu

Sema saiv naendelea kurekebisha makosa nikijipata soon tier one nafika

Shida yangu sijui kukaba na Nina mpira mbovu kama wa tenhag😃😃😃😃pira objective kama robertinho😃😃
 
Rating ya kikosi chako ni ngapi?? Mimi mfumo unaonisumbua ni 5-3-2 yaani huyu lazima anifunge
 
Rating yangu ni 94.4

Me natumia ile 442 diamond shape wanayokaa 4-1-2-1-2 ndo formation niliyozoea...

Labda nibadilishe formation maana hii tangu 2014 natumia sijawai badili
 
Kipindi hicho mimi ni noob, nilikua natumia 5-2-1-2 nilikua nawatesa kweli ila nikaja badili nilivokua na max squad hua napendelea striker moja kwaajili ya counter
 
Mimi kama diego simeone striker mmoja mbele ni mwiko...

Ngoja network ikikaa vzr tutacheza then unipe suggestions formation gani nzuri inanifaa
 
Back
Top Bottom