Dream League Soccer Special Thread

Kumbe kila kombe? Cheza online japo fika tier 6... na kikosi cha kawaida uone Msala au leta code na mi ntapanga wachezaji wa kawaida, ukipata hata sare ntakupa bando la mwezi...
Unasema Tier 6 tu
 
Mkuu tier 10 utawafunga Sana njoo kwa watabe huku tier 3 to 1
 
Kikosi changu star ni izak tu na ana rate 81... alaf now nipo tier 6 na wachezaji moderate karibu wote.... kipigo nnachogawa ni cha kipekee sana, japo kuna wababe nimekubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…