Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Kumbe kila kombe? Cheza online japo fika tier 6... na kikosi cha kawaida uone Msala au leta code na mi ntapanga wachezaji wa kawaida, ukipata hata sare ntakupa bando la mwezi...
Unasema Tier 6 tu
 
Natoa zawadi ya elf 50 kwa yoyote kati yenu atakae pata ata sare tu kwangu.... nadhani hapa Africa hakuna mtu anaeweza kunifunga dream league.... yaan hua inafikia hatua natoa wacheza wote alaf nasajili mid players wenye rate 68 na 70 na nna beba kila kombe.
Mkuu tier 10 utawafunga Sana njoo kwa watabe huku tier 3 to 1
 
Banned 🥲 nimezidisha
FB_IMG_1725081188990.jpg
 
Kikosi changu star ni izak tu na ana rate 81... alaf now nipo tier 6 na wachezaji moderate karibu wote.... kipigo nnachogawa ni cha kipekee sana, japo kuna wababe nimekubali.
 
Back
Top Bottom