MrJobless
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,091
- 1,342
Naam Ndg yng
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam Ndg yng
Unasema Tier 6 tuKumbe kila kombe? Cheza online japo fika tier 6... na kikosi cha kawaida uone Msala au leta code na mi ntapanga wachezaji wa kawaida, ukipata hata sare ntakupa bando la mwezi...
Acha kutamba kijanaCode nazitoa vp?? Nipe instructions..... nasisitiza malipo ata kwa atakae pata sare tu
Mkuu tier 10 utawafunga Sana njoo kwa watabe huku tier 3 to 1Natoa zawadi ya elf 50 kwa yoyote kati yenu atakae pata ata sare tu kwangu.... nadhani hapa Africa hakuna mtu anaeweza kunifunga dream league.... yaan hua inafikia hatua natoa wacheza wote alaf nasajili mid players wenye rate 68 na 70 na nna beba kila kombe.
Huko mbali hata tier 8 tu hatoboiMkuu tier 10 utawafunga Sana njoo kwa watabe huku tier 3 to 1
Jamaa anatamba mnoHuko mbali hata tier 8 tu hatoboi
Game 70 per day🤣🤣🤣Banned 🥲 nimezidisha
View attachment 3091903
Una balàa hata weekend hua sichezi game nyingi kiasi hicho [emoji23]Banned 🥲 nimezidisha
View attachment 3091903
Napiga 150 kwa siku Ile ya prizes online namaliza kwa siku naona sahivi ukicheza 70 mbaka 100 bannedGame 70 per day🤣🤣🤣
Mbona ndogo Mkuu napiga mbaka 100 kwa sikuUna balàa hata weekend hua sichezi game nyingi kiasi hicho [emoji23]
Unaquit snBanned 🥲 nimezidisha
View attachment 3091903
Hapana Mkuu uki quit hawaesabu kama umecheza wanaweka loseUnaquit sn
Wanahesabu ... Na ukiquit ndo chanzo cha kupigwa banHapana Mkuu uki quit hawaesabu kama umecheza wanaweka lose
Hamna Mkuu kama Leo nimecheza mechi 100 sijaquit Wala Nini nimepigwa ban masaa 9Wanahesabu ... Na ukiquit ndo chanzo cha kupigwa ban
Lkn wanapiga bannedHapana Mkuu uki quit hawaesabu kama umecheza wanaweka lose