Dream League Soccer Special Thread

Ulipata advantages mbili 1 ubora wa kikosi chako na 2 ni ubora wa internet yako na ndio maana nimekuambia nitasajiri voda kwa ajiri yako @
We tafuta gemu la kucheza hata kupanga viboksi yaani haiwezekani nacheza na kukufunga huku nakuhurumia halafu wewe eti ndio muanzilishi wa huu uzi😂😂😆
 
Hii game kwa cm zenye ram ma rom kubwa lipo poa
 
Ulipata advantages mbili 1 ubora wa kikosi chako na 2 ni ubora wa internet yako na ndio maana nimekuambia nitasajiri voda kwa ajiri yako @
Poa ,siku changamoto zikikaa sawa tutarudia.
 
Hina shida ila kwa mchezo wako hata kwa kikosi hiki hautoboi
😂 😂 😂 na kwa sababu hiyo ndio maana najiita Maser kwani nacheza soka bovu sana lakini ushindi uhakika nakaba kwenye space na kupiga kaunta hatari pasi zangu hazikifi tano hata Nne lazima niko mbele au nimenyan'ganywa mpira na mpinzani
 
Niweke salio nikupige?
 
Tatizo magemu ya Ps na Fifa zinakula nafasi kubwa , kudownload vipengele vingi pamoja na Mb kibao na kucheza pia inahitaji muda wote uwe Online
Nimemwambia game la DLS ni friendly sana
 
Unaweza kucheza online hili?
 
Leo nimepagawa nataka nimalize hasira zangu kwa yeyote aliye online nimpige nyingi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…