Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Ulipata advantages mbili 1 ubora wa kikosi chako na 2 ni ubora wa internet yako na ndio maana nimekuambia nitasajiri voda kwa ajiri yako @
We tafuta gemu la kucheza hata kupanga viboksi yaani haiwezekani nacheza na kukufunga huku nakuhurumia halafu wewe eti ndio muanzilishi wa huu uzi😂😂😆
 
Poa ,siku changamoto zikikaa sawa tutarudia.
 
Hina shida ila kwa mchezo wako hata kwa kikosi hiki hautoboi
😂 😂 😂 na kwa sababu hiyo ndio maana najiita Maser kwani nacheza soka bovu sana lakini ushindi uhakika nakaba kwenye space na kupiga kaunta hatari pasi zangu hazikifi tano hata Nne lazima niko mbele au nimenyan'ganywa mpira na mpinzani
 
Niweke salio nikupige?
 
Nip
Mimi hapa, wewe si yule uliyepigwa tisa si nitaharibu kiwango changu kucheza na vvibon

Mimi hapa, wewe si yule uliyepigwa tisa si nitaharibu kiwango changu kucheza na vibonde ?
Nipe code nijaribu na kikosi
Screenshot_2022-07-18-22-12-54-05.png
 
Pengine simu yako haipo supported, kwangu inatokea.

Dream league 2018 apk

Dream league 2018 obb
Unaweza kucheza online hili?
 
Leo nimepagawa nataka nimalize hasira zangu kwa yeyote aliye online nimpige nyingi .
 
Back
Top Bottom