Dream League Soccer Special Thread

Kwenye event mpya wengi wanachukua timu kubwa mimi nimechukua wolves kujipima uwezo na nimemkalisha mtu na Psg yake
 
Timu yako michezaji yote ina bluu ndio maana ulikuwa unanifunga tena kwa bahati nasabu kwa vile kikosi changu kulikuwa kidogo.
Hahaha, sema nimebadili simu so nimeanza upya academy level
 
Wewe ukija nakipinga si chini ya mbili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†
Kwa sasa ule uteja baasi. This time utaipenda mwenyewe angalia ball poses ilivyo dimba nililikamata na wote tulikuwa tunacheza kati zaidi i.e ni ufundi tu na mbinu nimemtangulia ila mtu kama ww utapigwa hadi uchanike
 
Mimi pasi mbili golini naweza nikawa na possession 30% lakini nampiga mtu nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…