Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Kwenye event mpya wengi wanachukua timu kubwa mimi nimechukua wolves kujipima uwezo na nimemkalisha mtu na Psg yake
Screenshot_20220722_152200.jpg
 
Wewe ukija nakipinga si chini ya mbili 😂😂😆
Kwa sasa ule uteja baasi. This time utaipenda mwenyewe angalia ball poses ilivyo dimba nililikamata na wote tulikuwa tunacheza kati zaidi i.e ni ufundi tu na mbinu nimemtangulia ila mtu kama ww utapigwa hadi uchanike
 
Mimi pasi mbili golini naweza nikawa na possession 30% lakini nampiga mtu nyingi.
 
Back
Top Bottom