Dream League Soccer Special Thread

Huku nilipo usiku network kwa kuplay online ni ngumu nitafute kaunzia asubuhi uone miujiza ya 'Parching style"'
Hata mm asubuhi net inakuwa na nguvu kidogo
 
Hata mm asubuhi net inakuwa na nguvu kidogo
Halafu likizo yangu inaisha leo kuanzia kesho ninakiwasha upya nataka nichomoe Spurs kwa misimu miwili mfulizo kanipiga K anachukua kwa kunifunga mechi ya mwisho, sasa nataka niwe bingwa msimu huu na kuchukua International zote nione mwisho wake vipi ..
 
Kesho alfajiri nitatest mitambo na ww before league nianze
 
Hili gemu mbn Mimi naongoza Kila msimu lakini sipandi Daraja
 
Bahati yako sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…