Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
- Thread starter
- #581
Oya
Upo?Hii Parching hii 😆😆yaani inasaka mchezaji kwa kaunta popote alipo ndio maana siogopi team yeyote hata wachezaji wewe na nguvu kama za Hulk kwani watavutwa kiakili kama watoto wadogo vile na kuchezea kichapo sio cha kawaida.
View attachment 2317938