Dream League Soccer Special Thread

Fene na jeuri yake amepigwa maneno yangu hayawi matupu mimi ndio Master wenu humu 😂😂😆😆
Ontarget nina 5 hapo mtu angekula nyingi swala
 
Hili gemu mimi nimeshindikana aisee
 
Sasa una haki ya kutamba adriz lakin sio kwamba sikuwez hapana tatizo hapa mambo yashakuwa mengi nafosi tu, ila nitakutafuta tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ,lakini ukishindwa siku nyingine muite hata bingwa wa mtaani kwenu mwambie kuna jamaa kashindikana ndio Master wa hili gemu.
 
Sawa ,lakini ukishindwa siku nyingine muite hata bingwa wa mtaani kwenu mwambie kuna jamaa kashindikana ndio Master wa hili gemu.
Halafu muoga kwel wewe, mwishoni ukaanza kuzuga kwa kupiga pasi golini[emoji1787][emoji1787] ila pongez kwako kwa kuitumia vzuri one mistake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Adriaz nakupa wiki moja uanze kuchezea kichapo.
Bingwa wa humu Kazi ya yangu ni kutoa kichapo tu ukiwa tayari kamili niite tu kukamilisha Kazi yangu huwa sina huruma kabisa..
 
Bingwa wa humu Kazi ya yangu ni kutoa kichapo tu ukiwa tayari kamili niite tu kukamilisha Kazi yangu huwa sina huruma kabisa..

[mention]adriz [/mention] bingwa unadaiwa bado bingwa[emoji23][emoji23][emoji23]..!! Sitaki uwe na kisingizio chochote lakini wewe ukishakuwa tayari kufuta uteja let me know sir. Jitahidi usiwe na kisingizio chochote cha kupigwa tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…