Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,824
- 4,447
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitokeze nikupe code chap upate kichapo cha asubuhi..
Code Delle4 nitasubiri mpk dkk 6
On target sio suala, na huwezi amini goli la kwanza kwasababu ya mtandao ulinizinguaFene na jeuri yake amepigwa maneno yangu hayawi matupu mimi ndio Master wenu humu [emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]View attachment 2320597
Ontarget nina 5 hapo mtu angekula nyingi swala
Hata mimi niliona lakini hii mechi ulikuwa unapigwa kwa namna yeyote sababu nimepeleka mashambulizi mengi na kukukosa penati.On target sio suala, na huwezi amini goli la kwanza kwasababu ya mtandao ulinizingua
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu usiseme wewe ni bingwa mbele yangu kwasababu tumecheza game mbil tu, hakuna mshindi badoHili gemu mimi nimeshindikana aisee View attachment 2320599
Twende ukale kichapo tena safari kichapo kikali kama upo tayari.Halafu usiseme wewe ni bingwa mbele yangu kwasababu tumecheza game mbil tu, hakuna mshindi bado
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa twenzetuTwende ukale kichapo tena safari kichapo kikali kama upo tayari.
Code Delle4
Kipigo cha pili ndani ya siku moja ,haya kuanzia leo Mimi bingwa wako uanze kuniheshimu na inabidi nianze kupita mtaa kea mtaa labda nitapata bingwa maana Jf na online kote sina mpinzani
Sawa ,lakini ukishindwa siku nyingine muite hata bingwa wa mtaani kwenu mwambie kuna jamaa kashindikana ndio Master wa hili gemu.Sasa una haki ya kutamba adriz lakin sio kwamba sikuwez hapana tatizo hapa mambo yashakuwa mengi nafosi tu, ila nitakutafuta tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu muoga kwel wewe, mwishoni ukaanza kuzuga kwa kupiga pasi golini[emoji1787][emoji1787] ila pongez kwako kwa kuitumia vzuri one mistakeSawa ,lakini ukishindwa siku nyingine muite hata bingwa wa mtaani kwenu mwambie kuna jamaa kashindikana ndio Master wa hili gemu.
Kuna siku nitaandaa mechi tatu na wewe, zote naahid kukuangamizaSawa ,lakini ukishindwa siku nyingine muite hata bingwa wa mtaani kwenu mwambie kuna jamaa kashindikana ndio Master wa hili gemu.
Bingwa wa humu Kazi ya yangu ni kutoa kichapo tu ukiwa tayari kamili niite tu kukamilisha Kazi yangu huwa sina huruma kabisa..Adriaz nakupa wiki moja uanze kuchezea kichapo.
Bingwa wa humu Kazi ya yangu ni kutoa kichapo tu ukiwa tayari kamili niite tu kukamilisha Kazi yangu huwa sina huruma kabisa..