Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

[mention]adriz [/mention] bingwa unadaiwa bado bingwa[emoji23][emoji23][emoji23]..!! Sitaki uwe na kisingizio chochote lakini wewe ukishakuwa tayari kufuta uteja let me know sir. Jitahidi usiwe na kisingizio chochote cha kupigwa tena
Mimi mda wowote sina kisingizio tena watu kama wewe ninawapiga nyingi kama mvua huwa siachi nafasi hata moja.
 
Wewe atakujibu ila mimi ananiogopa hawezi jaribu[emoji23][emoji23][emoji23]
Bingwa wa humu na master sasa niogope kipi ? ni mtandao usiku unayumba kuanzia alfajiri mpk jioni tenga muda nitoe dozi ya kama ninavyotoaga humu 🐶
 
Mbona nasearch sikuoni

Nipo ni mara ya pili hapa na search mwanzo nliambiwa hamna opponent. Na search ya mwisho

IMG_8989.jpg
 
Hamna neno mkuu..!! Upo vizuri pia, japo nimeshinda ila ushindi haukuwa mrahisi
Mmemekutana vibonde ndio maana mhangaika kufungana , ngoja kesho panapo niwaonyeshe jinsi gani mtu anavyotakiwa ashikishwe adabu hadi asitamani kucheza na mimi tena kama ilivyokuwa kwa @Frustation na wenzanke.
 
Back
Top Bottom