josemaro
Member
- Jul 14, 2018
- 90
- 61
Hapo nina kikosi cha kawaida sana na wanakoma vibaya sanaDream league Soccer kushinda sio kikosi tu hadi namnna ya uchezeshaji na bahati, nafasi unaweza ukakosakosa then adui akaja mara moja tu tena nje ya box na akakufunga na game ikaisha kama utani, DLS hataki hasira ni akili tu basi kwani nguvu tumewaachia Pes na Fifa.
Hii ndio instrument yangu ya ushindi japo nafungwa pia pamoja na ubora wote huu wa kikosiView attachment 2104003