Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Link ya group la telegram la dream league
Picha ya 1 ni dls 2022 na ya pili ni dls 2019 nitafanyaj hilo dls pich yake iwe kama ya 2019??
Screenshot_2022-08-18-22-02-45-214_com.firsttouchgames.dls7.jpg
Screenshot_2022-08-18-16-16-06-204_com.firsttouchgames.dls3.jpg
 
Watu mbona hawajiungi humu kwenye grupu au hawapendi namba zao kua wazi ?
Wanaogopa bc tu mbona telegram haineshi no labda majina ukiandika jina lko halali linaonekana ila no haioneshi ndyo maana nikachagua telegram nilitaka whatsapp nikaona whatsapp noma
 
Na picha zao profile wasiweke inaonekana ila no za cm hazionekani
 
Wanaogopa bc tu mbona telegram haineshi no labda majina ukiandika jina lko halali linaonekana ila no haioneshi ndyo maana nikachagua telegram nilitaka whatsapp nikaona whatsapp noma
Kumbe telegram namba haionyeshi ! mimi huko mgeni nimejua leo
 
Kangaloo tatizo lako huna challenge, noa kikosi chako vizuri bhana
 
Back
Top Bottom