Dream League Soccer Special Thread

Hapo nina kikosi cha kawaida sana na wanakoma vibaya sana
 
Tutacheza game moja ya mwisho ukinifunga hiyo nitakuita bingwa wangu rasmi



Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio uchawi wa mfumo nilio ubuni "'Parching style" mpira unamiliki wewe lakini unapigwa
Mapema mno kusurrender Cheki ramani yangu utagundua jinsi gani ninavyocheza na wapi pa kunikaba.
 
Mimi kwa hiki gemu naweza kufungua tusheni ya kuwafundisha watu gemu na nikapata wanafunzi lukuki yaani nalijua mpk kero 😂😂😂

Timu katika kuijenga nimekuza mastaa wakubwa na fowadi za maana kama Ronaldo,Mbappe ,Kane,Icardi na Werner kwa kuona hawawndani na 'Parching system' coz nataka forward za mbio na wanyambulifu hata Halaand,Immobile ,Salah nawapita kama siwajui.
 
Huu ndio uchawi wa mfumo nilio ubuni "'Parching style" mpira unamiliki wewe lakini unapigwaView attachment 2327494
Mapema mno kusurrender Cheki ramani yangu utagundua jinsi gani ninavyocheza na wapi pa kunikaba.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee game nilivyoianza nikajua leo shega hususa kipind cha kwanza

Kwa hasira chapu nimeenda kuwaongeza wachezaj wangu power

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee game nilivyoianza nikajua leo shega hususa kipind cha kwanza

Kwa hasira chapu nimeenda kuwaongeza wachezaj wangu power

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nina mpango Kazi mzima wa kusajili na kuna vigezo maalumu vya kumleta mchezaji mfano sasa lengo langu ni mmoja tu ViniJr hapo timu yangu sitoongeza chochote kile.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee game nilivyoianza nikajua leo shega hususa kipind cha kwanza

Kwa hasira chapu nimeenda kuwaongeza wachezaj wangu power

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatumia njia gani kuongeza nguvu ?

Kuna watu nahisi wanatumia mpk hela za kawaida kununua zile power maana unakuta mtu timu nzima iko full .
 
Unatumia njia gani kuongeza nguvu ?

Kuna watu nahisi wanatumia mpk hela za kawaida kununua zile power maana unakuta mtu timu nzima iko full .
Nilikuwa na diamond za kutosha kama 1000 na ushee hivi

Zinapatika kwa kushinda vile vikombe kila msimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa na diamond za kutosha kama 1000 na ushee hivi

Zinapatika kwa kushinda vile vikombe kila msimu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipa wangu Kotwaa kafikisha power 93 nikanunua golikipa kisha nikamtoa ili nipate skills ila cha ajabu wananiambia amefika maximum
 
Kuna stage nikasema sitowaongeza power tena, nataka ushindi wa kihalali ndo zikalundikana hadi kufika 1000

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kihalali ,mimi nikipata diamond nihakikisha kila player ana maximum ili niwafunge watu kikatili maana kuna events nyingine natoka mapema kisa mpinzani ana power kubwa kea wachezaji .

Ila najitahidi nachukua makombe online events nikiwa na kikosi kisichokua na 90 hata mmoja kasoro kipa.
 
Kwani events timu si wanakupa wao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuanzia ssahiv na mim sitorud nyuma, wacha niwajaze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani events timu si wanakupa wao?

Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo events unatumia timu yako Og na nimecheza hizo kama 10 na kitu hv tokea niwe na DLS 22 na nimeshakua winner 🏆 kama mara 4 au 5 wakati mwingine semi final ,final ,Quarter au round ya 1.

Nimeshawahi kuweka screenshot humu nikinyanyua kwapa challenge hiyo ukicheza utaona umuhimu wa kujaza wachezaji coz huwezi chkua Kombe bila kukutana na wajuba
 
Mm bado nacheza dls la 2019 nilijaribu la 2020 ikawa lazima uwena na bado

Hiv la 2022 band ni lazima??
Ni lazima ola likifunguka unaweza ukazima data hadi game ikaisha na unawasha tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…