Dream League Soccer Special Thread

Watu mbona hawajiungi humu kwenye grupu au hawapendi namba zao kua wazi ?
Wanaogopa bc tu mbona telegram haineshi no labda majina ukiandika jina lko halali linaonekana ila no haioneshi ndyo maana nikachagua telegram nilitaka whatsapp nikaona whatsapp noma
 
Na picha zao profile wasiweke inaonekana ila no za cm hazionekani
 
Wanaogopa bc tu mbona telegram haineshi no labda majina ukiandika jina lko halali linaonekana ila no haioneshi ndyo maana nikachagua telegram nilitaka whatsapp nikaona whatsapp noma
Kumbe telegram namba haionyeshi ! mimi huko mgeni nimejua leo
 
Kangaloo tatizo lako huna challenge, noa kikosi chako vizuri bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…