Dream League Soccer Special Thread

Hata mimi nme update sasa hivi siwezi kucheza lina stuck
 
Asante kwa ushauri nadhimu

Oya wajomba kuna mdau aliwahi kuanzisha thread na huwa inanitokea mara nyingi wakati ninacheza dream league dushe linafura kitaalamu imekaaje na vp upande wenu inawatokeaga hii ?
Dushe kwa maana ipi?
 
Hahah pia wajitahidi waweke SKIP kwenye mechi hahahah

Ila nshangaa hata Bayern Munich haipo hapo wamefeli.,
 
Hahah pia wajitahidi waweke SKIP kwenye mechi hahahah

Ila nshangaa hata Bayern Munich haipo hapo wamefeli.,
😂😂😂 afu waongeze ligi nyingne watoe National League haiwezekan club icheze na timu ya taifa yan Messi wa psg acheze na Messi wa Argentina 😂😂
 
Mnaocheza hili game sijui mnalisifia nini maana sifa pekee ya hili game ni size ila linakasoro nyingi
1; wajaboresha kabisa tackling yani adui akikupita huwez kumkaba tena
2; wachezaj mwonekano wao sio real labda names tu
3; update hii ya 2022 online playing imefanya game liwe zito sana shida inayofanya game li stuck sana
4; swala la logo na kits bado sana kwa DLS labda kama uta weka patch zako mwenyewe
Game kama FTS 15 lilikua ni game zuri sana kama wangeweza kuliendeleza nadhani lingekuwa one of the best football game
 
[emoji23][emoji23][emoji23] afu waongeze ligi nyingne watoe National League haiwezekan club icheze na timu ya taifa yan Messi wa psg acheze na Messi wa Argentina [emoji23][emoji23]
Hahah hapo umesema mkuu..[emoji23][emoji23]
 
Nimelicheza sana 2015-2018 nimelikinai
Kipindi kile lilikua offline halafu graphics zilikua za kishamba na pia hakukua na maujanja flani hivi mfano sahivi mpira ukitoka mchezaji anaenda kurusha bila kamera kuzima na kuanzia mchezaji amarusha yaani tukio unaliona kama upo kwenye TV.. Acha kabisa dream league ni best of the best
 
Ataepinga ni mchawi
 
Kweli kabisa tangu 2016 nilipoanza kucheza DLS kante ndiye mchezaji bora ever.. Ila staraika hatari ni messi
Sijawahi kumchukua mess wala Ronaldo, mm huwa nampenda sana Bale na Neymar ila saizi nina immobile na firmino
 
Hahahaha tena namwambia aende setting na camera mode aweke TV noma kweli
 
1. Fowad akitangulia humkuti.
Inawezekana usimkute kutokana na beki yako au umbali wa fowad aliokuacha. Ila ukisajiri beki kama Varane hapiti mtu labda akupige chenga au fowad akuache sana hasa game ukiweka attacking Maana beki zinapanda sana.
2. Graphics sio nzuri.
Hapa umedanganya sana na uombe msamaha. Hakuna game yenye realistic kushinda DLS hadi sasa hapa duniani. Graphics inategemea FRP umewekaje na nakushauri kaweke 60FRP ule bata achana na Pes na Fifa kwani wao nguvu nyingi wanatumia kwenye pc.
3. Game nzito na kugandaganda.
Tatizo hili limeelezwa na wengi na linatatulika. Nenda setting kaweke Quality Low na 60 FRP kwani simu yako itakuwa itel hiyo yenye internal memory 4GB na 500mb ram. Ila ww nenda kaset Graphics na itaendana na cm yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…