Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nme update sasa hivi siwezi kucheza lina stuckNdugu huwa nalitumia sana hili game lakini tangu nilivyo update to 2022 halitaki kabisa kuplay na kama nikibahatika kuplay nacheza kwa tabu maana ina stuck sana na muda mwingine kutoweka ghafla.....shida inaweza kuwa nini wataalamu....??
Hili game ndio ugonjwa wangu pindi nipatapo muda wa kutulia.....
Nenda kwenye settingHata mimi nme update sasa hivi siwezi kucheza lina stuck
Ewaaaa kama umeelewa kula bata achana na matapeli wa pes na fifaSasa nimeelewa hua kila nikimaliza Ligi huwa wananiambia niongeze uwanja ila mimi nilikua sijui maana yake
Bila shaka ameelewaNenda kwenye setting
Ingia kwenye setting....nenda advanced setting.....ingia kwenye graphics quality weka low.....nadhani itakuwa poa....
Hata mimi nili install kama mara mbili likawa linagoma kuplay nikafuta nilikasirika maana nilitumia zaidi ya Mb kama 400 ikaja kukubali mdau wangu aliponirushia mafaili kupitia xender , na akaniambia ukitaka licheze kwa mara ya kwanza baada ya kudownload usizime data mpk mkifika uwanjani baada ya hapo unapeta free
Dushe kwa maana ipi?Oya wajomba kuna mdau aliwahi kuanzisha thread na huwa inanitokea mara nyingi wakati ninacheza dream league dushe linafura kitaalamu imekaaje na vp upande wenu inawatokeaga hii ?
Most phone ni 2ram, mambo mengine tutamalizia kwenye pcKwa hiyo niivunje hii simu yangu ?
Kutoka kwenye kamusi ya Jf dushe au dushelele ni 'uume'Asante kwa ushauri nadhimu
Dushe kwa maana ipi?
Hahah pia wajitahidi waweke SKIP kwenye mechi hahahahgame lenyewe 2b bado uanze ku download mavitu mengne meng meng [emoji23][emoji23] alafu ni karbia kila muda wana kwambia u update hayo madude.
bora ni baki dls japo kuwa nalo ni jepesi lakn bora lenyewe halina mambo mengi.
Me napenda kwenye Dls wangeongeza baadhi ya vitu kama
1.idadi ya timu kwenye ligi kutoka 16 mpk 20
2.pia kuwe na mzunguko wa pili wa mechi siyo mmoja.
3.pia waweke team za ujeruman
4.Wafanye liwe lina ku challenge cyo me ndo nalipa challenge.
Me ckuiz nimeamua kucheza na kikos chenye overall kuanzia 50 ili tu nipate kuangaika kushinda ligi.
Ila sema nn hili 2022 lina kaugumu kake hutoboi kama huna top player [emoji23][emoji23]
😂😂😂 afu waongeze ligi nyingne watoe National League haiwezekan club icheze na timu ya taifa yan Messi wa psg acheze na Messi wa Argentina 😂😂Hahah pia wajitahidi waweke SKIP kwenye mechi hahahah
Ila nshangaa hata Bayern Munich haipo hapo wamefeli.,
Hahah hapo umesema mkuu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu waongeze ligi nyingne watoe National League haiwezekan club icheze na timu ya taifa yan Messi wa psg acheze na Messi wa Argentina [emoji23][emoji23]
Kipindi kile lilikua offline halafu graphics zilikua za kishamba na pia hakukua na maujanja flani hivi mfano sahivi mpira ukitoka mchezaji anaenda kurusha bila kamera kuzima na kuanzia mchezaji amarusha yaani tukio unaliona kama upo kwenye TV.. Acha kabisa dream league ni best of the bestNimelicheza sana 2015-2018 nimelikinai
Kweli kabisa tangu 2016 nilipoanza kucheza DLS kante ndiye mchezaji bora ever.. Ila staraika hatari ni messiUsisahau kumchukua Ngoro Kante na Mousa Sisoko ni hatari xn hawa kwa kwenye DLS
Ataepinga ni mchawiHata kimbia ya PES ni kama roboti fulani hivi ananesanesa na hawachangamki kama dream league. Hili game kama live tu hasa kamera ukiweka 70 80 90 na 100 unaona pande zote. Kikubwa zaidi DLS halisumbui mtandao mda wa kucheza na ndio maana hame ikiingia tu uwanjani unazima data na unacheza hadi mwisho game ikiisha unawasha na unaendelea. Hii inasaidia hata simu kuwa nyepesi wakati wote kwa sababu simu hafanyi kazi nyingine ya internet. Mambo ya connection failed,network error,no connection huku hayapo .kwa hiyo tunaposema dream league ni zaidi ya game tunamaana yetu.
Sijawahi kumchukua mess wala Ronaldo, mm huwa nampenda sana Bale na Neymar ila saizi nina immobile na firminoKweli kabisa tangu 2016 nilipoanza kucheza DLS kante ndiye mchezaji bora ever.. Ila staraika hatari ni messi
Hahahaha tena namwambia aende setting na camera mode aweke TV noma kweliKipindi kile lilikua offline halafu graphics zilikua za kishamba na pia hakukua na maujanja flani hivi mfano sahivi mpira ukitoka mchezaji anaenda kurusha bila kamera kuzima na kuanzia mchezaji amarusha yaani tukio unaliona kama upo kwenye TV.. Acha kabisa dream league ni best of the best
Sawa tutawaambiaHahah hapo umesema mkuu..[emoji23][emoji23]
1. Fowad akitangulia humkuti.Mnaocheza hili game sijui mnalisifia nini maana sifa pekee ya hili game ni size ila linakasoro nyingi
1; wajaboresha kabisa tackling yani adui akikupita huwez kumkaba tena
2; wachezaj mwonekano wao sio real labda names tu
3; update hii ya 2022 online playing imefanya game liwe zito sana shida inayofanya game li stuck sana
4; swala la logo na kits bado sana kwa DLS labda kama uta weka patch zako mwenyewe
Game kama FTS 15 lilikua ni game zuri sana kama wangeweza kuliendeleza nadhani lingekuwa one of the best football game