Kwanza fahamu kabisa una point zangu sita kule,Fene siku ya leo umeyakanyanga labda usitokee humu nipo sehemu ambayo network ipo full muda wote kwa hiyo hauna kisingizio cha kukwepa kichapo.
Timu yangu kikosi hakina nguvu kule nimeshachezea 4 home and away jumla 8 mechi ya kwanz kwa hiyo nakutaka mechi kwenye mechi za ligi nilipize points sita chap.Kwanza fahamu kabisa una point zangu sita kule,
halafu kuhusu hapa hamna shida mida ikifika nitakutag ili niongeze record zangu
~Mr record breaker & maker
[emoji23][emoji23]Timu yangu kikosi hakina nguvu kule nimeshachezea 4 home and away jumla 8 mechi ya kwanz kwa hiyo nakutaka mechi kwenye mechi za ligi nilipize points sita chap.
Ila hapa Jf ni King π ivagaeni miziki yangu humu nadhani dozi zangu haziitajii maelezo .[emoji23][emoji23]
adriz kweli kiande game 4 points 8
Mpak ssahiv nashangaa jeuri ya kujiita king humu sijui unaitolea wap wakat ushabondwa na watu wote ukiachana na kangaloo (japo na yeye anadai jana kashakubonda[emoji23])Ila hapa Jf ni King [emoji146] ivagaeni miziki yangu humu nadhani dozi zangu haziitajii maelezo .
Njoo turuke leo tumalize ubishi kila kiande ana kiande wake na mimi wewe ndio kiande wangu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ila hapa Jf ni King [emoji146] ivagaeni miziki yangu humu nadhani dozi zangu haziitajii maelezo .
Njoo turuke leo tumalize ubishi kila kiande ana kiande wake na mimi wewe ndio kiande wangu.
Kwenye ligi mimi top 4 lazima huo mwanzo mgumu tu.[emoji23][emoji23][emoji23]
adriz majigambo yote yale umeenda kula vipondo vile, quit lig bana unaiaibisha jf
Halafu ndo unatak uiwakilishe tz dream league dah
Aibu naona mim
Kitakwimu humu naongoza wewe sikumbuki mara ya mwisho kukuzidi lini , kiwango chako cha kushindana na kangaloo leo ukiwa tayari nitag tumalize ubishi.Mpak ssahiv nashangaa jeuri ya kujiita king humu sijui unaitolea wap wakat ushabondwa na watu wote ukiachana na kangaloo (japo na yeye anadai jana kashakubonda[emoji23])
Mim ndio napaswa kujiita king humu kwasababu wakali wako wote wananiheshimu nishawabonda na hata hakuna aliewahi kunifunga hata siku moja humu
Hakuna wa kucheza naeKitakwimu humu naongoza wewe sikumbuki mara ya mwisho kukuzidi lini , kiwango chako cha kushindana na kangaloo leo ukiwa tayari nitag tumalize ubishi.
Subiri dk 10 zijazo mpk dk 20 saa4 nitakua available kutoa dozi .Hakuna wa kucheza nae
NakusubiriSubiri dk 10 zijazo mpk dk 20 saa4 nitakua available kutoa dozi .
Dk 20 zimepita nataka nigawe doziSubiri dk 10 zijazo mpk dk 20 saa4 nitakua available kutoa dozi .
Upo?Dk 20 zimepita nataka nigawe dozi
We jamaa πππ et kichapo hevi huoni juu umekula Nne sasa nani bingwa na nani katoa dozi kubwa ? Fene embu msaidie naona kachanganyikiwa.Kichapo heavy View attachment 2336972
Usisahau rekod yangu ya comeback inaendeleaInnovator kala Rava4 4View attachment 2336907
Fene nimeifikia rekodi bado kuweka mpya ya Nne au tano, leo tena haujanizidi kwa chochote unapaswa uniheshimuView attachment 2336910