Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Fene siku ya leo umeyakanyanga labda usitokee humu nipo sehemu ambayo network ipo full muda wote kwa hiyo hauna kisingizio cha kukwepa kichapo.
 
Kwanza fahamu kabisa una point zangu sita kule,

halafu kuhusu hapa hamna shida mida ikifika nitakutag ili niongeze record zangu
~Mr record breaker & maker
 
Timu yangu kikosi hakina nguvu kule nimeshachezea 4 home and away jumla 8 mechi ya kwanz kwa hiyo nakutaka mechi kwenye mechi za ligi nilipize points sita chap.
 
[emoji23][emoji23]
adriz kweli kiande game 4 points 8
 
[emoji23][emoji23]
adriz kweli kiande game 4 points 8
Ila hapa Jf ni King 👑 ivagaeni miziki yangu humu nadhani dozi zangu haziitajii maelezo .

Njoo turuke leo tumalize ubishi kila kiande ana kiande wake na mimi wewe ndio kiande wangu.
 
Ila hapa Jf ni King [emoji146] ivagaeni miziki yangu humu nadhani dozi zangu haziitajii maelezo .

Mpak ssahiv nashangaa jeuri ya kujiita king humu sijui unaitolea wap wakat ushabondwa na watu wote ukiachana na kangaloo (japo na yeye anadai jana kashakubonda[emoji23])

Mim ndio napaswa kujiita king humu kwasababu wakali wako wote wananiheshimu nishawabonda na hata hakuna aliewahi kunifunga hata siku moja humu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

adriz majigambo yote yale umeenda kula vipondo vile, quit lig bana unaiaibisha jf

Halafu ndo unatak uiwakilishe tz dream league dah
Aibu naona mim
 
Kwenye ligi mimi top 4 lazima huo mwanzo mgumu tu.
 
Mpak ssahiv nashangaa jeuri ya kujiita king humu sijui unaitolea wap wakat ushabondwa na watu wote ukiachana na kangaloo (japo na yeye anadai jana kashakubonda[emoji23])

Mim ndio napaswa kujiita king humu kwasababu wakali wako wote wananiheshimu nishawabonda na hata hakuna aliewahi kunifunga hata siku moja humu
Kitakwimu humu naongoza wewe sikumbuki mara ya mwisho kukuzidi lini , kiwango chako cha kushindana na kangaloo leo ukiwa tayari nitag tumalize ubishi.
 
Kwa ambae hataki no yake ya simu ionekane kuna group la dream league telegram link naweka hapa chini nasubir tuongezeke niandae ligi
 
Innovator kala Rava4 4
Screenshot_20220828_000505.jpg

Fene nimeifikia rekodi bado kuweka mpya ya Nne au tano, leo tena haujanizidi kwa chochote unapaswa uniheshimu
Screenshot_20220828_005046.jpg
 
Back
Top Bottom