Halafu naziona points zangu 6 kwa Innovator97 najua hana uwezo wa kuchukua points kwangu ataishia kumuonea kibonde wake adrizWe jamaa [emoji23][emoji23][emoji38] et kichapo hevi huoni juu umekula Nne sasa nani bingwa na nani katoa dozi kubwa ? Fene embu msaidie naona kachanganyikiwa.
Upo ukaribishwe kwa kichapoNiaje wadau, nani yupo online tucheze, pia nawezaje kujiunga kwenye league
Haina noma, usikimbie tu mkuuUpo ukaribishwe kwa kichapo
Jamaa umekua kibonde kwenye ligi mimi ningekuwa nina wachezaji hata wawili au watatu wenye power kama za wachezaji wako wewe ungejua unapigwa 5 kipa siku na kwenye ligi top 4 uhakika.Upo ukaribishwe kwa kichapo
Na wew kwa visingizio, we kama kibonde ni kibonde tu,Jamaa umekua kibonde kwenye ligi mimi ningekuwa nina wachezaji hata wawili au watatu wenye power kama za wachezaji wako wewe ungejua unapigwa 5 kipa siku na kwenye ligi top 4 uhakika.
Nitakutafuta manHaina noma, usikimbie tu mkuu
Weka kikosi chako tupime hapa una bluu kama Nne hivi.Na wew kwa visingizio, we kama kibonde ni kibonde tu,
Kuhus kufungwa wote walionifunga wachezaj wao weusi, mi sina hata mchezaj mmoja mweusi ktk first eleven
Halafu wale jamaa kwangu hata siwaoni wakali power tu ndo zinawabeba wanacheza mpira wa kawaida sana labda wachache sana
Kikubwa ninachojivunia kuna kibonde wangu mmoja tu wa kuitwa adriz
Hayo maneno ya kujifurahisha kama vipi tuanzishe ligi kwenye grupu letu telegram tucheze mimi ,wewew Innovator na Nkulu wa nchito tuone nani ataibuka kidedea.Nitakutafuta man
Ila fahamu mim ndie mfalme humu,
Nitakukaanga kama goli tatu ili ufahamu vizuri hichi nilichokisema
Kuna mtu atakuja kukulaghai eti yeye ndie mfalme, ogopa matapeli
Cc;adriz
Tofautisha hawa wenye ubluu na wale wenye nyota mkuu, sina hata mmoja mwenye nyota ukiachana na AllisonWeka kikosi chako tupime hapa una bluu kama Nne hivi.
Weka matokeo yako na huyo unayemuita kibonde wako tupime takwimu acha kujisahaulisha wakati tokea unizidi siku ya kwanza haijawahi tena.
Itapendeza ikianzishwa hiyo ligi japo nitakuwa sina mpinzaniHayo maneno ya kujifurahisha kama vipi tuanzishe ligi kwenye grupu letu telegram tucheze mimi ,wewew Innovator na Nkulu wa nchito tuone nani ataibuka kidedea.
Mimi hata wa bluu ulio naovnawatafuta kwa tochi.Tofautisha hawa wenye ubluu na wale wenye nyota mkuu, sina hata mmoja mwenye nyota ukiachana na Allison
π π π we kibonde siku ukiyavagaa nimekuandalia kipigo heavy cha hasira ya kuchukua cheo changu bila kufanyia Kazi halafu nitakuja kuscreenshot ili nikudhalilishe vizuri.Itapendeza ikianzishwa hiyo ligi japo nitakuwa sina mpinzani
Ila naona tungefanya kila wiki siku moja tuwe na game 3 kuamua nani mfalme humu ili tuondoe huu ukinzani wa nani mfalme (ukiachana na friends za kila siku)
Maana unataka kubeba ufalme wangu bila ya kustahiki
Mambo yaende kwa facts bana
Mkuu na wew watafute sio unakuja kulalamikalalamika hapaMimi hata wa bluu ulio naovnawatafuta kwa tochi.
Suggest lini katika wik tukipute kumtafuta mfalme[emoji23] [emoji23] [emoji23] we kibonde siku ukiyavagaa nimekuandalia kipigo heavy cha hasira ya kuchukua cheo changu bila kufanyia Kazi halafu nitakuja kuscreenshot ili nikudhalilishe vizuri.
Niko tayari na huo mtangane coz najua uhakika wa kukufunga.
Wewe ndio kibonde inatakiwa uchague ili usiwe na visingizio.Suggest lini katika wik tukipute kumtafuta mfalme
Wewe mbona unalalamika power ya watu wa ligi kule kama si kitu?Mkuu na wew watafute sio unakuja kulalamikalalamika hapa
Kibonde bana utamjua tu
Halafu umekuja kuniponda hapa nikajua labda wew ktk lig una maajabuWewe mbona unalalamika power ya watu wa ligi kule kama si kitu?
Mimi silalamiki ika naonyesha jinsi gani ulivyo kiande yaani na wachezaji wako wote lakini umekuwa mtu wa vichapo kila siku mara ya mwisho kunizidi mpk sikumbuki.
Turuke now friend match chap.Halafu umekuja kuniponda hapa nikajua labda wew ktk lig una maajabu
Ile aibu ile yani umecheza gem 21 una points 10 [emoji23][emoji23] dah!
Afadhali mim mara 100