Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

We jamaa [emoji23][emoji23][emoji38] et kichapo hevi huoni juu umekula Nne sasa nani bingwa na nani katoa dozi kubwa ? Fene embu msaidie naona kachanganyikiwa.
Halafu naziona points zangu 6 kwa Innovator97 najua hana uwezo wa kuchukua points kwangu ataishia kumuonea kibonde wake adriz
 
Upo ukaribishwe kwa kichapo
Jamaa umekua kibonde kwenye ligi mimi ningekuwa nina wachezaji hata wawili au watatu wenye power kama za wachezaji wako wewe ungejua unapigwa 5 kipa siku na kwenye ligi top 4 uhakika.
 
Na wew kwa visingizio, we kama kibonde ni kibonde tu,

Kuhus kufungwa wote walionifunga wachezaj wao weusi, mi sina hata mchezaj mmoja mweusi ktk first eleven
Halafu wale jamaa kwangu hata siwaoni wakali power tu ndo zinawabeba wanacheza mpira wa kawaida sana labda wachache sana

Kikubwa ninachojivunia kuna kibonde wangu mmoja tu wa kuitwa adriz
 
Haina noma, usikimbie tu mkuu
Nitakutafuta man

Ila fahamu mim ndie mfalme humu,
Nitakukaanga kama goli tatu ili ufahamu vizuri hichi nilichokisema

Kuna mtu atakuja kukulaghai eti yeye ndie mfalme, ogopa matapeli

Cc;adriz
 
Weka kikosi chako tupime hapa una bluu kama Nne hivi.

Weka matokeo yako na huyo unayemuita kibonde wako tupime takwimu acha kujisahaulisha wakati tokea unizidi siku ya kwanza haijawahi tena.
 
Hayo maneno ya kujifurahisha kama vipi tuanzishe ligi kwenye grupu letu telegram tucheze mimi ,wewew Innovator na Nkulu wa nchito tuone nani ataibuka kidedea.
 
Nani yuko online nimchakaze na magoli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Weka kikosi chako tupime hapa una bluu kama Nne hivi.

Weka matokeo yako na huyo unayemuita kibonde wako tupime takwimu acha kujisahaulisha wakati tokea unizidi siku ya kwanza haijawahi tena.
Tofautisha hawa wenye ubluu na wale wenye nyota mkuu, sina hata mmoja mwenye nyota ukiachana na Allison
 
Hayo maneno ya kujifurahisha kama vipi tuanzishe ligi kwenye grupu letu telegram tucheze mimi ,wewew Innovator na Nkulu wa nchito tuone nani ataibuka kidedea.
Itapendeza ikianzishwa hiyo ligi japo nitakuwa sina mpinzani

Ila naona tungefanya kila wiki siku moja tuwe na game 3 kuamua nani mfalme humu ili tuondoe huu ukinzani wa nani mfalme (ukiachana na friends za kila siku)

Maana unataka kubeba ufalme wangu bila ya kustahiki
Mambo yaende kwa facts bana
 
😂 😂 😂 we kibonde siku ukiyavagaa nimekuandalia kipigo heavy cha hasira ya kuchukua cheo changu bila kufanyia Kazi halafu nitakuja kuscreenshot ili nikudhalilishe vizuri.

Niko tayari na huo mtangane coz najua uhakika wa kukufunga.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] we kibonde siku ukiyavagaa nimekuandalia kipigo heavy cha hasira ya kuchukua cheo changu bila kufanyia Kazi halafu nitakuja kuscreenshot ili nikudhalilishe vizuri.

Niko tayari na huo mtangane coz najua uhakika wa kukufunga.
Suggest lini katika wik tukipute kumtafuta mfalme
 
Mkuu na wew watafute sio unakuja kulalamikalalamika hapa

Kibonde bana utamjua tu
Wewe mbona unalalamika power ya watu wa ligi kule kama si kitu?

Mimi silalamiki ika naonyesha jinsi gani ulivyo kiande yaani na wachezaji wako wote lakini umekuwa mtu wa vichapo kila siku mara ya mwisho kunizidi mpk sikumbuki.
 
Halafu umekuja kuniponda hapa nikajua labda wew ktk lig una maajabu

Ile aibu ile yani umecheza gem 21 una points 10 [emoji23][emoji23] dah!
Afadhali mim mara 100
 
Turuke now friend match chap.
 
Back
Top Bottom