Dream League Soccer Special Thread

Halafu umekuja kuniponda hapa nikajua labda wew ktk lig una maajabu

Ile aibu ile yani umecheza gem 21 una points 10 [emoji23][emoji23] dah!
Afadhali mim mara 100
Hakuna cha afadhali hapo mimi problem wachezaji tu na nikiogeza power nipate kama wako sitashikika.
 
Tukamalize ubishi kwa kuzipiga hizo game tatu sasahiv tutakutana tena Jumanne ijayo

Hiyo tuliocheza hatuihesabii
Twende yaani nikicheza na wewe najiamini kichizi sema kama unakuja .
 
Ya tatu Fene umeshinda Nne kwa 1 hata kama ola nimekupita points hadi magoli.
 
Ni mimi umevamia mchezo subiri nimshughulikie huyubdozi yako itafuatia.
Kwa kweli poleni.
Nliona umetoa code na sikuona opponent akikujibu kwenye thread nikasema nisikuache uwe bored.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…