adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Kibonde mwenzako michezo minne kashinda mmoja huku alipigwa kipingo cha aibu na kikubwa humu cha sita(6) yaana hata wewe na kangaloo humu hamkufungwa hivyo.Mandonga anachapika yeye tu mda wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibonde mwenzako michezo minne kashinda mmoja huku alipigwa kipingo cha aibu na kikubwa humu cha sita(6) yaana hata wewe na kangaloo humu hamkufungwa hivyo.Mandonga anachapika yeye tu mda wote
Ulimfunga nan 6? Alafu kumbuka game 2 za nyuma umekufa zoteKibonde mwenzako michezo minne kashinda mmoja huku alipigwa kipingo cha aibu na kikubwa humu cha sita(6) yaana hata wewe na kangaloo humu hamkufungwa hivyo.
Kabla gemu hizo nimekufunga mechi kama 7 kea siku tofauti tofauti sio wewe umebahatisha siku mmoja mechi mbili ambazo moja tumetokea sare umeshinda kwa matuta.Ulimfunga nan 6? Alafu kumbuka game 2 za nyuma umekufa zote
Huu nini ni utetezi ama?
Nakuonyesha kwamba mimi ndio bingwa wa humu mbabe wako jana kala 6 na ameshinda mechi mmoja Kati ya Nne.Huu nini ni utetezi ama?
Ww umenifunga game nne tu tena zamani kipindi hicho wachezaji sikuwasajiri ila sass hauniwezi na sio saizi yako uto wew.Kabla gemu hizo nimekufunga mechi kama 7 kea siku tofauti tofauti sio wewe umebahatisha siku mmoja mechi mbili ambazo moja tumetokea sare umeshinda kwa matuta.
Ninascreshots za kukufunga kama kumi goli Nne zikiwa kama mbili ngoja nikupe advataisi kWw umenifunga game nne tu tena zamani kipindi hicho wachezaji sikuwasajiri ila sass hauniwezi na sio saizi yako uto wew.
Ndio maana nimesema kwa sasa ww ni mwana historia mzuri mno,hauzungumzii matokeo ya siku hizi ,hayo ya kitambo sana. Hata majimaji na Pamba ya Mwanza wanahistoria japo haina maana tena kwa sasaNinascreshots za kukufunga kama kumi goli Nne zikiwa kama mbili ngoja nikupe advataisi kView attachment 2340581idogo
Mbona tokea siku hiyo unaogopa match kama unajiamini na haitaji tena kucheza na timu yangu shida iko wapi ? au unajua kuwa una kiwango kibovu na ulibahatisha hivyo ukijaribu tena utapata kipigo heavy kingine?Ndio maana nimesema kwa sasa ww ni mwana historia mzuri mno,hauzungumzii matokeo ya siku hizi ,hayo ya kitambo sana. Hata majimaji na Pamba ya Mwanza wanahistoria japo haina maana tena kwa sasa
Mm nipo imara wakati na mda woteMbona tokea siku hiyo unaogopa match kama unajiamini na haitaji tena kucheza na timu yangu shida iko wapi ? au unajua kuwa una kiwango kibovu na ulibahatisha hivyo ukijaribu tena utapata kipigo heavy kingine?
Niweke code twende now ?Mm nipo imara wakati na mda wote
Weka tuNiweke code twende now ?
Code Delle4 ,mechi mbili chapWeka tu
PCode Delle4 ,mechi mbili chap
Washukuru sana tigoCode Delle4 ,mechi mbili chap
Twende nkushikishe adabuCode Delle4 ,mechi mbili chap
adriz labda nikuambie tu, naona sasa imetosha, kama kufurahi umefurahi mno, umetamba vya kutoshaNingekuwa mimi ndio wewe ningekimbilia jukwaa la upishi na nisingetokea humu kwa aibu kubwa yaani mechi Nne za jana
1. 3 -1 umelose
2. 3 - umelose
3. 1 - 4 umeshinda
4. 6- 3 umelose
Bado haujioni kibonde tu na Tutafute gemu lingine la kucheza au mpk upigwe heavy kingine hapo haijawahi kunizidi tokea unizidi siku ya kwanza sasa unawaambiaje mashabiki ? [emoji23][emoji23][emoji38]