Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Mandonga anachapika yeye tu mda wote
Kibonde mwenzako michezo minne kashinda mmoja huku alipigwa kipingo cha aibu na kikubwa humu cha sita(6) yaana hata wewe na kangaloo humu hamkufungwa hivyo.
 
Kibonde mwenzako michezo minne kashinda mmoja huku alipigwa kipingo cha aibu na kikubwa humu cha sita(6) yaana hata wewe na kangaloo humu hamkufungwa hivyo.
Ulimfunga nan 6? Alafu kumbuka game 2 za nyuma umekufa zote
 
Ulimfunga nan 6? Alafu kumbuka game 2 za nyuma umekufa zote
Fene jana
Screenshot_20220831_001653.jpg
 
Ulimfunga nan 6? Alafu kumbuka game 2 za nyuma umekufa zote
Kabla gemu hizo nimekufunga mechi kama 7 kea siku tofauti tofauti sio wewe umebahatisha siku mmoja mechi mbili ambazo moja tumetokea sare umeshinda kwa matuta.
 
Kabla gemu hizo nimekufunga mechi kama 7 kea siku tofauti tofauti sio wewe umebahatisha siku mmoja mechi mbili ambazo moja tumetokea sare umeshinda kwa matuta.
Ww umenifunga game nne tu tena zamani kipindi hicho wachezaji sikuwasajiri ila sass hauniwezi na sio saizi yako uto wew.
 
Ww umenifunga game nne tu tena zamani kipindi hicho wachezaji sikuwasajiri ila sass hauniwezi na sio saizi yako uto wew.
Ninascreshots za kukufunga kama kumi goli Nne zikiwa kama mbili ngoja nikupe advataisi k
Screenshot_20220831_070601.jpg
idogo
 
Ninascreshots za kukufunga kama kumi goli Nne zikiwa kama mbili ngoja nikupe advataisi kView attachment 2340581idogo
Ndio maana nimesema kwa sasa ww ni mwana historia mzuri mno,hauzungumzii matokeo ya siku hizi ,hayo ya kitambo sana. Hata majimaji na Pamba ya Mwanza wanahistoria japo haina maana tena kwa sasa
 
Ndio maana nimesema kwa sasa ww ni mwana historia mzuri mno,hauzungumzii matokeo ya siku hizi ,hayo ya kitambo sana. Hata majimaji na Pamba ya Mwanza wanahistoria japo haina maana tena kwa sasa
Mbona tokea siku hiyo unaogopa match kama unajiamini na haitaji tena kucheza na timu yangu shida iko wapi ? au unajua kuwa una kiwango kibovu na ulibahatisha hivyo ukijaribu tena utapata kipigo heavy kingine?
 
Mm nipo imara wakati na mda wote
 
Ningekuwa mimi ndio wewe ningekimbilia jukwaa la upishi na nisingetokea humu kwa aibu kubwa yaani mechi Nne za jana

1. 3 -1 umelose
2. 3 - umelose
3. 1 - 4 umeshinda
4. 6- 3 umelose
Bado haujioni kibonde tu na Tutafute gemu lingine la kucheza au mpk upigwe heavy kingine hapo haijawahi kunizidi tokea unizidi siku ya kwanza sasa unawaambiaje mashabiki ? [emoji23][emoji23][emoji38]
adriz labda nikuambie tu, naona sasa imetosha, kama kufurahi umefurahi mno, umetamba vya kutosha

Kikubwa nilichokiplan tuende kwa facts na sasa hamna noma

Fene sasa nimeenda kufungua kile kitabu changu nilichopewa na babu yangu ili niichukue hii himaya rasmi

Waambie hao nduguzo kina frastruation na wengineo bwana Fene sio wa kumsogelea tena

Najua utasema hata kwenye kanga yapo ila jiepushe hii ni tahadhari

Nb/ sitaki vile visingizio eti wachezaj wako wana power huo ni utoto
 
Back
Top Bottom