Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

wazee mnawezaje kucheza online kama hvo na mtu mwingine?maana mi nashindwa
 
Huyu kiande akitaje mwenyewe alivamia code kumbe kadandia mtumbwi wa vibwengo na nahisi atakuwa Nkulu wa nchito sasa nimemkalisha Master nimerudi sitaki vibonde watawale

Na natoa into kali kwa yeyote atakaye kuja
Screenshot_20220922_220707.jpg
 
wazee mnawezaje kucheza online kama hvo na mtu mwingine?maana mi nashindwa
Unabonyeza kwenye Exhibition then unaenda friend match utaambiwa andika code sasa utachagua neno la kuweka wewe na mpinzani wako hapo mnakuwa connected.
 
Unabonyeza kwenye Exhibition then unaenda friend match utaambiwa andika code sasa utachagua neno la kuweka wewe na mpinzani wako hapo mnakuwa connected.
shukran mkuu nipe code yako nikakukande
 
Back
Top Bottom