Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,824
- 4,447
Kumbuka vizuri mzee baba usilete uhuni hapa, nakuhesabiaFact gani mimi gemu sita sijashinda mbili huo ni uongo wa dhahiri kwanza kumbukumbu zangu za haraka zinakataa hiyo rekodi nikianza kuhesabumechi zetu za hivi karibuni.
1.kwenye mechi mbili za ligi nimeshinda moja
2.Kwenye Challenge yetu ya mechi tatu nimeshinda moja .
3.Before hiyo challenge mechi ya mwisho nilikupiga 3-0 rekodi ambayo haijawahi kuivunja.
Sasa mbona unaongipea mashabiki dhahiri kabisa au haujiamini tunafosi rekodi za mchongo kama ushindi wa juzi [emoji23][emoji23][emoji38]
Challenge yetu saw na game 3
Umeshinda 1
Game za lig umeshinda 1 sawa na game 5 hizo tayar
Kabla ya hapo nilikuomba friend match nyuma nilikufunga (game ya pil hukutaka kucheza ulikimbia ukasingizia mtandao)
Nilipost matokeo ya hii game hapo juu ukachekwa sana na mashabiki