Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Fene ujipange kiande wangu taarifa niliyopata sasa J4 panapo majaaliwa nitakuwa sehemu yenye utulivu na mtandao unashika vizuri sasa nimepanga nicheze huku nimeweka kitambaa machoni maana sitaki nikuaibishe sana nitakua kama mwamba hapo chini ambaye aliwahi kufanya hivyo kwenye competition ya ulengaji shabaha kwa na alishinda coz anajiamini na kutambua fika kua mpinzani wake kiande.

View attachment 2345363

Huyo jamaa kama mimi hataki madharau yeye dozi tu.
Hahaha, unanifurahisha kwel adriz

Yani hapo unazungumza huku amani ikiwa imepotea kabisa, unatamani J/nne isifike

Mpaka sasahiv ukilikumbuka soka ulilopigiwa juzi amani inapotea kabisa

Nikwambie tena tu kwasasahiv ukicheza na Fena bora uamue kujilinda tu ili kuepuka aibu ya magoli mengi
 
Screenshot_20211218_130214.jpg
 
Kipigo kikubwa zaidi cha kapa yaani nimevunja rekodi yangu mwenyewe na hii picha ya kutisha imepigwa jana sasa 5 usiku
Screenshot_20220905_224835.jpg
 
Sitaki visingizio kama una visingizio vyako uweke kabisa maana nataka nimalize ubishi iwe mwisho kucheza na vibonde leo.
Barid na kuanzia leo unipatie heshima yangu rasmi baada ya kisago
 
Unajiamini hauna kisingizio chochote sasa niweke code ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1491][emoji1491][emoji1491][emoji1491][emoji1491][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]
 
Sitaki visingizio kama una visingizio vyako uweke kabisa maana nataka nimalize ubishi iwe mwisho kucheza na vibonde leo.
Mtoto akililia wembe mwachie umkate[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom