Dream League Soccer Special Thread

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji23] mkuu umetoa timu uwanjaniView attachment 2365107
Acha kujisifia ujinga mechi tumecheza dk 10 na kitu mtandao umegoma unajisifia onyesha wafaungaji wa hizo goli mbili ...kwanza la kwanz players walikuwa wamesimama ndio maana gemu nikaona bora niQuit tu.
 
usimind kaka nakuzingua tu hata mimi pia ilikuwa inaganda hata ndugu yangu niliyecheza nae mwanzo pia nimemwambia ina stuck sana
 
usimind kaka nakuzingua tu hata mimi pia ilikuwa inaganda hata ndugu yangu niliyecheza nae mwanzo pia nimemwambia ina stuck sana
Sijamind mimi humu Master na ndio King 👑 wao ndio maana sitaki watu wachafue CV yangu maana mm ninaongoza kutoa kipigo kikubwa humu 6 nikimfunga Fene pamoja na rekodi nyingine nyingi humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…