Dream League Soccer Special Thread

Mbona nashindwa kuadd prof.dat ktk tablet yangu?

Nikienda storage,android,data nakuta empty
Msaada
 
Wakulungwa mi online kuna changamoto moja nakutana nayo; naweza nikawa na mpira nishapress B kutoa pasi mchezaji wangu anakuwa kama anaganda mpaka opponent wangu anakuja anachukua mpira, au unakuta nakaba mchezaji wangu anamfuata opponent ila akimkaribia anakuwa kama anavutwa kurudi nyuma hivyo hakabi, je issue ni internet au jamaa ndo wanatumia cheats? Na kikosi ninacho kizuri tu so sitaki kuamini kuwa labda mchezaji wangu ana rating ndogo kuliko anayepambana nae.
 
hiyo inatokana na nguvu ya internet ya simu yako pia angalia mawe ya mtandao utaona green au red? Green strong network na RED ni weak internet strength
 
hiyo inatokana na nguvu ya internet ya simu yako pia angalia mawe ya mtandao utaona green au red? Green strong network na RED ni weak internet strength
Dah mi siku zote nikicheza hii game online internet huwa changamoto na ninatumia voda ila hivyo hivyo huwa nashinda na sometimes nachapwa. Ligi tu ndo huwa haisumbui😢 ila hilo suala la beki wangu kuwa kama anavutwa kurudi nyuma hata kwenye ligi sometimes huwa linatokea
 
hiyo inatokana na nguvu ya internet ya simu yako pia angalia mawe ya mtandao utaona green au red? Green strong network na RED ni weak internet strength
Pia nimegundua kwenye ligi computer ikiazima mchezaji eg. Kane akachezea Man U basi kushinda hiyo mechi huwa ni ngumu sana. Cjui kwa wenzangu labda mie ni kibonde sana😀
 
Mbona nashindwa kuadd prof.dat ktk tablet yangu?

Nikienda storage,android,data nakuta empty
Msaada
kama game ulirusha kwa xender itabid urushiwe na obb data inapatikana phone au external memory -adroid -obb -dls kwa aliyekurushia na ikiingia kwako lazima ukatoe toka xender-others-obb -dls na ukapaste kwenye obb yako. fanya hivyo kama uli extract kwa zipfile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…