Dream League Soccer Special Thread

All in all DLS ndio game bora kwenye android yaani yatakuja magame yooote yataondoka lakini DLS itasimama.....
Kweli kabisa japo na mapungufu yake yote ukiweka kwenye mzani mmoja Dream na magemu mengine DLS ina uzito mkubwa na wenyewe wametengeneza special kwa simu ndiyo maana ipo simple . Nawapa kongole waliotengeneza wakiendelea kujiimarisha watazidi kutawala kwenye upande kwenye gemu.
 
Ndio maana mwaka hadi mwaka wanaboresha, saizi nackia wanataka kuweka hadi press ya makocha kabla na baada ya match
 
Mi kikosi kidogo bwana usije kuninyandua kumi
Hamna sema na leo voda mtandao uko chini sana. 4G ila bado inasumbua, nitajie code tujaribu. Mm nina mane,bale,firimino na immobile tu pale mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…