adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Kweli kabisa japo na mapungufu yake yote ukiweka kwenye mzani mmoja Dream na magemu mengine DLS ina uzito mkubwa na wenyewe wametengeneza special kwa simu ndiyo maana ipo simple . Nawapa kongole waliotengeneza wakiendelea kujiimarisha watazidi kutawala kwenye upande kwenye gemu.All in all DLS ndio game bora kwenye android yaani yatakuja magame yooote yataondoka lakini DLS itasimama.....