Dream League Soccer Special Thread

Baada ya kitambo kirefu kupotea leo nimeweza kuinstall DLS na kurudi rasmi sasa The Master GOAT 🐐 nimerejea natangaza vita rasmi yeyote atakaye nifunga gemu 3 nampa crown πŸ‘‘πŸ‘‘ yangu ,haha Kinumbo Fene na viande wengine njoeni .
 
Baada ya kitambo kirefu kupotea leo nimeweza kuinstall DLS na kurudi rasmi sasa The Master GOAT 🐐 nimerejea natangaza vita rasmi yeyote atakaye nifunga gemu 3 nampa crown πŸ‘‘πŸ‘‘ yangu ,haha Kinumbo Fene na viande wengine njoeni .
Screenshot kikosi tuone
 
Sitaki magroup mengi wa sasa kwani ninalo la Singasinga kuna watu kutoka mataifa mbalimbali competition kubwa nikilichukua kombe huko nitahamia kwengine.
Kwa Singasinga kwenyewe ulishakimbia kitambo sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa Singasinga kwenyewe ulishakimbia kitambo sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana nilijipa likizo fupi wakati narudi kuupdates likakataa ikachukua muda jana nimerestore simu nikaliweka upya,kule uliza tournament ya mwisho nilifanya wonders gani na kikosi changu dhidi ya full nyota mpaka nikatolewa michuano kwa figusu ,sasa nimerudi hakuna sehemu watakaobaki salama vipigo tu.
 
Nikiitaji kujiunga kwenye tournament zenu inakuaje maana nimecheza level zote
 
Maoni yangu kwa DSL

Hawa DSL wangeleta transfer market kwa season yaani baada season kuisha auwezi kusajili tena.
Pia wangeleta kipengele Cha kusajili na kuuza pia mchezaji sio kama ilivyo.

Pia wangeboresha mfumo wao wa league azo ziwe na match za home and Away.
 
Mtu leo kapigwa kama ngoma nowπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mechi tano nimemfunga 4 yeye kashinda moja
 
Fene kupata kipigo cha aibu
Zote leo mpyaaa!!

Santos06 nisaidie nimgungaje mpaka aniheshimu huyu Fene kam leo mechi 5 nimemfunga Goli 17 anahitaji kipi zaidi ?
 
Kinumbo njoo maana ulileta mdomo sana nataka wengine waje King wa huu uzi nimeshafika.
 
Ukiambatanisha na hii itakuwa vyema zaidi
 
Ukiambatanisha na hii itakuwa vyema zaidiView attachment 2545181
Hii ni lini mbona ulikuwa wapi sikuzote mpk uje upost leo ? jibu ndani ya siku hiyo ulikutana na kichapo kikali kiasi ambacho ukaona aibu hata hii kupost.

Weka matokeao ya jumla siku ulivyonifunga hivyo mechi ya pili nilikufungaje na aggregate ilikuwa vipi.
 
Huyu jamaa adriz dream league anafosi tu lkn hana jambo, magemu yapo mengi lkn anafosi la mpira tazama sasa huu si uzalilishaji huu[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…