Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imebidi nicheke tu ,mechi 4 leo umeshinda hiyo wakati bingwa mimi unajisifu kwa magoli mengi yasiyo na faida ?Huyu jamaa adriz dream league anafosi tu lkn hana jambo, magemu yapo mengi lkn anafosi la mpira tazama sasa huu si uzalilishaji huu[emoji23][emoji23]View attachment 2555849
Hii mechi haikuisha 88 dk ,vipi mbona vipondo hivyo nimekupiga sana na siringi baada ya kufungwa leo ukaona utambe na historia ? toa tokea la leoVipondo vya aibu kabisaView attachment 2555850
Onesha game yoyote uliyonifunga kwa goal difference 5 nipo nimekaa paleeeeImebidi nicheke tu ,mechi 4 leo umeshinda hiyo wakati bingwa mimi unajisifu kwa magoli mengi yasiyo na faida ?
Hizi umesahau tena mpk nyingine nimefuta.View attachment 2555851View attachment 2555852
Hiyo ndio rekodi pekee unayojivunia ,mfano leo Man U akose ubingwa Asenal achukue kisha atoke Ten Hag aseme Arsenal aonyeshe alipomzidi Man U goal difference 6 au Liverpool akose kombe lolote Top 4 na kujivunia rekodi ya 7 kwa Man si wataonekana vituko ? Only looser ndio wanajivunia na rekodi uchwaraOnesha game yoyote uliyonifunga kwa goal difference 5 nipo nimekaa paleeee
Kwasasa mi sitambi tena nikikufunga kwasababu nimeshakufunga sanaHiyo ndio rekodi pekee unayojivunia ,mfano leo Man U akose ubingwa Asenal achukue kisha atoke Ten Hag aseme Arsenal aonyeshe alipomzidi Man U goal difference 6 au Liverpool akose kombe lolote Top 4 na kujivunia rekodi ya 7 kwa Man si wataonekana vituko ? Only looser ndio wanajivunia na rekodi uchwara
Kama 5 nimekupiga sana kama 6 nimekupiga sana at least ungekuwa hauna historian ya vipigo vya aibu ungejisifu kuliko kujififu wakati mwenyewe una mizigo ya vichapo hizo 6 na tano hazihesabiki kama mvua.Halafu usijisahaulishe rekodi ya mechi 13(au kuzidi) bila ushindi hii inaaibisha sana..
Nakutahadharisha kabisa what's coming now is 6 goal differenceHiyo ndio rekodi pekee unayojivunia ,mfano leo Man U akose ubingwa Asenal achukue kisha atoke Ten Hag aseme Arsenal aonyeshe alipomzidi Man U goal difference 6 au Liverpool akose kombe lolote Top 4 na kujivunia rekodi ya 7 kwa Man si wataonekana vituko ? Only looser ndio wanajivunia na rekodi uchwara
Kama 5 nimekupiga sana kama 6 nimekupiga sana at least ungekuwa hauna historian ya vipigo vya aibu ungejisifu kuliko kujififu wakati mwenyewe una mizigo ya vichapo hizo 6 na tano hazihesabiki kama mvua.Halafu usijisahaulishe rekodi ya mechi 13(au kuzidi) bila ushindi hii inaaibisha sana..
Onyesha uliyonifunga goli 6Kwasasa mi sitambi tena nikikufunga kwasababu nimeshakufunga sana
Yani kama ilivyo kwa Messi na Ronaldo wao wanavyolia navyo now ni rekodi tu
Ndio maana hata last week baada ya kukuvunja na siku nyingine kibao sijaja kutamba hapa ajabu ni wew ambae unatamba kunifunga game kazaa una prove wew ni kiande coz lazima uwe na furaha kunifunga Master[emoji23][emoji23] (master ambae ana chase rekodi tu now)
Nachodili nacho now ni rekod onesha game yoyote uliyowahi nifunga kwa at least 5 goal difference [emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo nimekaa paleee
Mimi kioaumbele cha kwanza ni kuhakikisha naibuka winner 🏆 kisha magoli baadae ,ndio maana nilikuchapa mechi 13 na kuendelea mfululizo jambo ambalo wewe huwezi kulifanya ila 6 ni rahisi kwangu kozi nishakupiga 5-1 na 6-2 mara nyingi .Nakutahadharisha kabisa what's coming now is 6 goal difference
Beware of it[emoji779][emoji779][emoji779][emoji845][emoji845][emoji845]
Maake kwanza nicheke [emoji23][emoji23][emoji23]Onyesha uliyonifunga goli 6
Mpaka uweke mabano ili kuficaha aibu😂😂😂 6 ni 6 tu.Maake kwanza nicheke [emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee Rudi juu hapo utakutana na 6-1= (5 goal difference)
Tazama rekod yako ilivyokuwa haina mantikiMpaka uweke mabano ili kuficaha aibu[emoji23][emoji23][emoji23] 6 ni 6 tu.
Mbona comment ya gemu 13 plus mfululizo unaikwepa ?[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe uliishia mechi 9 ukataka rekodi ya 10 nikashindwa, mimi ushahidi upo humu post za nyuma nilipost na haukubisha na hakuna kichapo kikubwa mfululizo kama hiko bila ushindi .Tazama rekod yako ilivyokuwa haina mantiki
Kwanza ni rekod ambayo hata nikikuomba ushahidi huna, pili je baada ya hizo game 13 mfululizo kipi kilifuata?!![emoji849][emoji849]
Tatu rekod ya dizaini hiyo ninazo ila hakuna kumbukumbu tu ya game za nyuma
Utashikilia rekod namna hiyo coz huwez kuwa na rekod kama zangu ambazo zimekamilika zenye ushahid tosha zenye kushikilia from the first to the last, coz sio rahis kuzipata inahitajika uwe Pro Ultra Max Legendary Master