Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Vipondo vya aibu kabisa
Screenshot_20230308-230510_1.jpg
 
Huyu jamaa adriz dream league anafosi tu lkn hana jambo, magemu yapo mengi lkn anafosi la mpira tazama sasa huu si uzalilishaji huu[emoji23][emoji23]View attachment 2555849
Imebidi nicheke tu ,mechi 4 leo umeshinda hiyo wakati bingwa mimi unajisifu kwa magoli mengi yasiyo na faida ?

Hizi umesahau tena mpk nyingine nimefuta.
Screenshot_20221229_232412.jpg
Screenshot_20230308_231934.jpg
 
Onesha game yoyote uliyonifunga kwa goal difference 5 nipo nimekaa paleeee
Hiyo ndio rekodi pekee unayojivunia ,mfano leo Man U akose ubingwa Asenal achukue kisha atoke Ten Hag aseme Arsenal aonyeshe alipomzidi Man U goal difference 6 au Liverpool akose kombe lolote Top 4 na kujivunia rekodi ya 7 kwa Man si wataonekana vituko ? Only looser ndio wanajivunia na rekodi uchwara

Kama 5 nimekupiga sana kama 6 nimekupiga sana at least ungekuwa hauna historian ya vipigo vya aibu ungejisifu kuliko kujififu wakati mwenyewe una mizigo ya vichapo hizo 6 na tano hazihesabiki kama mvua.Halafu usijisahaulishe rekodi ya mechi 13(au kuzidi) bila ushindi hii inaaibisha sana..
 
Kwasasa mi sitambi tena nikikufunga kwasababu nimeshakufunga sana

Yani kama ilivyo kwa Messi na Ronaldo wao wanavyolia navyo now ni rekodi tu

Ndio maana hata last week baada ya kukuvunja na siku nyingine kibao sijaja kutamba hapa ajabu ni wew ambae unatamba kunifunga game kazaa una prove wew ni kiande coz lazima uwe na furaha kunifunga Master[emoji23][emoji23] (master ambae ana chase rekodi tu now)

Nachodili nacho now ni rekod onesha game yoyote uliyowahi nifunga kwa at least 5 goal difference [emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo nimekaa paleee
 
Nakutahadharisha kabisa what's coming now is 6 goal difference

Beware of it[emoji779][emoji779][emoji779][emoji845][emoji845][emoji845]
 
Onyesha uliyonifunga goli 6
 
Nakutahadharisha kabisa what's coming now is 6 goal difference

Beware of it[emoji779][emoji779][emoji779][emoji845][emoji845][emoji845]
Mimi kioaumbele cha kwanza ni kuhakikisha naibuka winner 🏆 kisha magoli baadae ,ndio maana nilikuchapa mechi 13 na kuendelea mfululizo jambo ambalo wewe huwezi kulifanya ila 6 ni rahisi kwangu kozi nishakupiga 5-1 na 6-2 mara nyingi .
 
Maake kwanza nicheke [emoji23][emoji23][emoji23]

Mzee Rudi juu hapo utakutana na 6-1= (5 goal difference)
Mpaka uweke mabano ili kuficaha aibu😂😂😂 6 ni 6 tu.

Mbona comment ya gemu 13 plus mfululizo unaikwepa ?😂😂😂
 
Mpaka uweke mabano ili kuficaha aibu[emoji23][emoji23][emoji23] 6 ni 6 tu.

Mbona comment ya gemu 13 plus mfululizo unaikwepa ?[emoji23][emoji23][emoji23]
Tazama rekod yako ilivyokuwa haina mantiki

Kwanza ni rekod ambayo hata nikikuomba ushahidi huna, pili je baada ya hizo game 13 mfululizo kipi kilifuata?!![emoji849][emoji849]

Tatu rekod ya dizaini hiyo ninazo ila hakuna kumbukumbu tu ya game za nyuma

Utashikilia rekod namna hiyo coz huwez kuwa na rekod kama zangu ambazo zimekamilika zenye ushahid tosha zenye kushikilia from the first to the last, coz sio rahis kuzipata inahitajika uwe Pro Ultra Max Legendary Master
 
Wewe uliishia mechi 9 ukataka rekodi ya 10 nikashindwa, mimi ushahidi upo humu post za nyuma nilipost na haukubisha na hakuna kichapo kikubwa mfululizo kama hiko bila ushindi .
 
Kwasasa Fene ndie mfalme wa dls ndani ya JamiiForums adriz alishasanda baada ya manyanyaso yasioisha
Screenshot_20230321-232021_1.jpg
 
Kwasasa natafuta mpinzani wa uhakika sio hii ngoma adriz najibutulia ninavyotaka[emoji16][emoji16]
Screenshot_20230321-230915_1.jpg
 
Back
Top Bottom