Dream League Soccer Special Thread

Master nawachora tu ,chezeni kisha ambaye ameshindikana mleteni kwangu nimuadabishe..
 
Nipo hapa, ehee vp unahitaji kilichompata adriz?

Hiv unajua kwamba mwenzako adriz huu uzi anauona mchungu kwasasa......

Shauri yako

Sema nakusikiliza
Ushindi wa siku moja nao wa kujisifia kabla ya siku hiyo unakumbuka kilichokupata ?

Mimi nakamufunga mpaka siku 3,4 nk wewe moja tu unajiona mwamba ,nitakutafuta weekend InshaAllah kisha uje mwenyewe kuleta mrejesho.
 
Master nawachora tu ,chezeni kisha ambaye ameshindikana mleteni kwangu nimuadabishe..
Yani wew hata kukoment humu inatakiwa uniombe ruhusa kwanza mimi

Na nakuambia kwa hiyo komenti yako jiandae kulia tena, safari hii utalia kwa machoz ya damu

Umeniuzi sana Mr Kiande[emoji35][emoji35][emoji35]

Na hizi jeuri zako ndizo zinakuponza, unaonewa huruma lakin jeuri!!!
 

Boss twende tupige game mbili
 
Adriz unaoshewa
 
Wana Dream League Naombeni msaada wenu Simu Yangu ina Android Version 10 ni infinix ila cha ajabu nkienda Play store kulidownload Dream league 23 nakuta limeandikwa App wont work in your Device,

Sas nashangaa linakataaje kudownload kwangu wakt Requirement zake ukizisoma linahitaji SImu yenye Android version Kuanzia 9.

Kwahyo naomben kam kuna mtu anawez kunipa mbinu ya kulidownload hili Game hata kwa njia mbadala nyingne. Anayejua Tafadhali Anisaidie maan nmelitazama hili game nimetokea kulikubali sana Msaada plz Nitashukuru sana🙏
 
Cmu yako ina ram ngap?
 
Nachofahamu mim simu at least iwe na ram 2gb, labda ktk hiyo 2gb kuna specifications zake haijafikia

Labda tuwasubir wajuz zaid,

Santos06
Mr Kiande adriz na wengineo
Unaua brand yangu nilioijenga kwa jasho na kutoa vipigo heavy humu na rekodi nyingi, please call me Adriz The Master
 
Hata mimi simi yangu Ram 2 gb android 10 kuna wakati nikiupdate playstore ilikuwa inaleta ujumbe huo mpk nikawa ninafuta na kudowload upya linakubali ikija updates inazingua ikifika mwishoni wakati wa kudowload mpaka nikahamisha mafile na kurestore simu now imekubali.

Tatizo hilo playstore wanalo niliseacrch Youtube jinsi ya kusolve wengi wametoa njia kwamba unahold app inaenda kwenye app info kisha unaclear caches and data kisha download upya, wengi hii imewasaidia nenda youtube utaona maelekezo zaidi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…