Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TwendeUpo?
Poa, code 966JTwende
Team?Poa, code 966J
Mtandao upo down kwangu, umenusurika na kichapo Mr SingasingaTeam?
Ushindi wa siku moja nao wa kujisifia kabla ya siku hiyo unakumbuka kilichokupata ?Nipo hapa, ehee vp unahitaji kilichompata adriz?
Hiv unajua kwamba mwenzako adriz huu uzi anauona mchungu kwasasa......
Shauri yako
Sema nakusikiliza
Yani wew hata kukoment humu inatakiwa uniombe ruhusa kwanza mimiMaster nawachora tu ,chezeni kisha ambaye ameshindikana mleteni kwangu nimuadabishe..
Yani wew hata kukoment humu inatakiwa uniombe ruhusa kwanza mimi
Na nakuambia kwa hiyo komenti yako jiandae kulia tena, safari hii utalia kwa machoz ya damu
Umeniuzi sana Mr Kiande[emoji35][emoji35][emoji35]
Na hizi jeuri zako ndizo zinakuponza, unaonewa huruma lakin jeuri!!!
Soon mtandao ulnizingua ila twende tukatest, code 966JBoss twende tupige game mbili
Adriz unaoshewaYani wew hata kukoment humu inatakiwa uniombe ruhusa kwanza mimi
Na nakuambia kwa hiyo komenti yako jiandae kulia tena, safari hii utalia kwa machoz ya damu
Umeniuzi sana Mr Kiande[emoji35][emoji35][emoji35]
Na hizi jeuri zako ndizo zinakuponza, unaonewa huruma lakin jeuri!!!
Cmu yako ina ram ngap?Wana Dream League Naombeni msaada wenu Simu Yangu ina Android Version 10 ni infinix ila cha ajabu nkienda Play store kulidownload Dream league 23 nakuta limeandikwa App wont work in your Device,
Sas nashangaa linakataaje kudownload kwangu wakt Requirement zake ukizisoma linahitaji SImu yenye Android version Kuanzia 9.
Kwahyo naomben kam kuna mtu anawez kunipa mbinu ya kulidownload hili Game hata kwa njia mbadala nyingne. Anayejua Tafadhali Anisaidie maan nmelitazama hili game nimetokea kulikubali sana Msaada plz Nitashukuru sana[emoji120]
RAM GB 2 MkuuCmu yako ina ram ngap?
Hata mimi simi yangu Ram 2 gb android 10 kuna wakati nikiupdate playstore ilikuwa inaleta ujumbe huo mpk nikawa ninafuta na kudowload upya linakubali ikija updates inazingua ikifika mwishoni wakati wa kudowload mpaka nikahamisha mafile na kurestore simu now imekubali.Wana Dream League Naombeni msaada wenu Simu Yangu ina Android Version 10 ni infinix ila cha ajabu nkienda Play store kulidownload Dream league 23 nakuta limeandikwa App wont work in your Device,
Sas nashangaa linakataaje kudownload kwangu wakt Requirement zake ukizisoma linahitaji SImu yenye Android version Kuanzia 9.
Kwahyo naomben kam kuna mtu anawez kunipa mbinu ya kulidownload hili Game hata kwa njia mbadala nyingne. Anayejua Tafadhali Anisaidie maan nmelitazama hili game nimetokea kulikubali sana Msaada plz Nitashukuru sanaš