Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Ba
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ afu waongeze ligi nyingne watoe National League haiwezekan club icheze na timu ya taifa yan Messi wa psg acheze na Messi wa Argentina ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Bayern, psg, juve zote zipo ila ww haujakutana nazo ligi zao mbovu na hao wapo 1 division na junior ila unaweza kutana nao kwenye Diamond cup au Global Challenge Cup
 
mbona ili game nikitaka kuweka kwenye infinix hote 8 inagoma kukaa Inaniambia Google Gmail is not complete
Nenda setting ya cm yako, apps na utafute google play service ubofye na clear data then update kama ipo old version
 
Mm nikitaka wachezaji wenye majina makubwa wanataka nilipie pesa wananiletea menu ya tigo pesa
Kusanya kwanza coin za kutosha ukiona unaletewa manu ya kulipia basi ujue huna coin nyingi. Coin unapata kadri unavyocheza na ukitaka rusu kuona tangazo ili upate coin mara dufu. Pia upgrade uwanja wako ili upate coin nying home games na ukiongeza na kuangalia tangazo, basi utapata zaidi ya coin 200
 
1. Fowad akitangulia humkuti.
Inawezekana usimkute kutokana na beki yako au umbali wa fowad aliokuacha. Ila ukisajiri beki kama Varane hapiti mtu labda akupige chenga au fowad akuache sana hasa game ukiweka attacking Maana beki zinapanda sana.
2. Graphics sio nzuri.
Hapa umedanganya sana na uombe msamaha. Hakuna game yenye realistic kushinda DLS hadi sasa hapa duniani. Graphics inategemea FRP umewekaje na nakushauri kaweke 60FRP ule bata achana na Pes na Fifa kwani wao nguvu nyingi wanatumia kwenye pc.
3. Game nzito na kugandaganda.
Tatizo hili limeelezwa na wengi na linatatulika. Nenda setting kaweke Quality Low na 60 FRP kwani simu yako itakuwa itel hiyo yenye internal memory 4GB na 500mb ram. Ila ww nenda kaset Graphics na itaendana na cm yako.
1; Graphics za game mm nakwambia sio za kutisha shida sio simu nina simu ina 32 Gb na 1Gb ram na sio kwangu tu naona hata kwa wengine
2; Na kuhusu forward akikupita ndo basi tena kumshika ww sahau tu hili game wangeliboresha defense aiseeh lingekuwa zuri
3; Alafu hata ufanyaje game lazma li stuck tu na hii ni kwa sababu ya kulitoa game kutoka offline na kulipeleka online
4; Kama wangeweka features kama za FTS 15 kwamba unaweza
+ukamkuza mchezaji wako na team kubwa kumtaka
+Kuitwa na team nyingine kulingana na performance yako
+Player contract negotiations features
5; in general waimprove na transfer window zao
Kama umewah kucheza fifa kwenye pc part ya management huwez linganisha na DLS wanaitaji a lot of improvement aiseh
 
All in all DLS ndio game bora kwenye android yaani yatakuja magame yooote yataondoka lakini DLS itasimama.....
 
Wapenzi wa DLS mpo wengi mm nilikuwa mpenz wa FTS 15 mpaka waliponawa mikono sahv nipo zangu na CSD 21
 
DLS wamejitahidi kwanza kudumu kwenye industry.. Nilijaribu pes nikaona ni udwanzi kwanza setting nyingi kinoma halafu wana tatizo flani hivi unaweza shangaa game linaenda speed kuliko uhalisia ila sio dream league.... Halafu dream linaanza from scratch yaani hadi raha mzee najua unajua
 
FTS ni DLS sijajua watu wanachanganya wapi
 
1; Graphics za game mm nakwambia sio za kutisha shida sio simu nina simu ina 32 Gb na 1Gb ram na sio kwangu tu naona hata kwa wengine
2; Na kuhusu forward akikupita ndo basi tena kumshika ww sahau tu hili game wangeliboresha defense aiseeh lingekuwa zuri
3; Alafu hata ufanyaje game lazma li stuck tu na hii ni kwa sababu ya kulitoa game kutoka offline na kulipeleka online
4; Kama wangeweka features kama za FTS 15 kwamba unaweza
+ukamkuza mchezaji wako na team kubwa kumtaka
+Kuitwa na team nyingine kulingana na performance yako
+Player contract negotiations features
5; in general waimprove na transfer window zao
Kama umewah kucheza fifa kwenye pc part ya management huwez linganisha na DLS wanaitaji a lot of improvement aiseh
Issue ya kustuck mmeambiwa mkarekebishe graphics na 1GB Ram ni ndogo nenda kaweke low quality kwenye game. Mm back zangu huwa hazipitiki kirahisi na hadi sasa nimefungwa mechi 1 tu na Juve tena nusu Final Global Challange cup. Sajiri beki za Maana hawapitiki.
 
Beki mzuri DSL ni Chelini japo anapata red cards sana, pembeni Dimaria, Ton Kloss, Halland, Bale wana speed sana na wana score tukutane online ukiona Mamelody sundowns ya bongo jua ni mimi
Tatizo wanao tumia masandawana niwengi wa kibongo lete code mkuu tukiwashe
 
Back
Top Bottom