Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Oya wajomba kuna mdau aliwahi kuanzisha thread na huwa inanitokea mara nyingi wakati ninacheza dream league dushe linafura kitaalamu imekaaje na vp upande wenu inawatokeaga hii ?
[emoji16][emoji16][emoji16] hata mimi inanitokea sana, sijajua inatokana na nini hasa.
 
Hili la 2022 linagoma kuinstall nadhani simu yangu haisupport ngoja nirudishe lile la 2020
 
Nalipenda sana hili game lkn kuna baadh ya vitu si vielewi, kwa mfano kusajili nashindwa

Kuna muda nacheza inafkia hatua kujenga uwanja ila pale sielew na kwama pia

Msaada mkuu
 
Mkuu hebu nisaidie hapa pls
Msaada
Screenshot_20220202-204702_DLS22.jpg
 
Back
Top Bottom