Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Baada ya kuimarisha kikosi Kazi changu sasa nafumua yeyote yule hadi nimechukua online event trophy 🏆
IMG_20220406_082058.jpg
IMG_20220406_082058.jpg
 
Wadau nimedownload hii dls 22 yenye picha ya de bruyne... Ila mbona halichez mpka niwe online tu
 
Hili goli langu nilifunga linafuta tozo za mafuta
 
Na hili hapa goli bora kabisa bonge la faulo kamba
 
Wakuu mbona Dream League nikiingia playstore niambiwa UNAVAILABLE IN YOUR COUNTRY halafu nikidownload kupitia google linagoma ku install inaandika HUENDA KIFAA KIMEHARIBIKA
naomba mwenye kujua link unipatie ni download
nahitaji dream league ya 2018 au 19
 
Pengine simu yako haipo supported, kwangu inatokea.

Dream league 2018 apk

Dream league 2018 obb
 
Pengine simu yako haipo supported, kwangu inatokea.

Dream league 2018 apk

Dream league 2018 obb
Natumia TECNO WX3
Je kwa mfano ikigoma na hii nicheze game lipi ambalo angalau linaweza kukaribiana na DREAM LEAGUE?
 
Back
Top Bottom