Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Unaingia sokoni mchawi mpunga wa kutosha na ili upate inatakiwa uongeze ukubwa wa uwanja zikija options za kuwatch video unwatch ili coins ziongekeze.

Kwenye usajili DLS 22 unaingia sehemu ya transfer utaona wachezaji wapo sokoni ila mara nyingi wanakuja vibonde labda kidogo uwe ligi za juu ndio unawekewa mchezaji mzuri kwenye transfer list ya wachezaji.Sasa mbinu nzuri ya kumpata mchezaji wa kiwango tumia scout View attachment 2291074

Kisha chagua skauti wa mwishoni ambaye dau lake ni coin 500 na mchezaji anyemleta ni kuanzia coin 1500 -2000 sasa ukitaka kupata mchezaji wa uhakika Ingia sokoni na hela kuanzia 2000Coin View attachment 2291082

Nb :Njia nyingine kila baada ya mechi pitia sokoni unaweza kuta mchezaji mzuri wamemuweka hivyo unamdaka chap bila kumpa hela skauti .
Upo vizuri sana na unauzoefu wa DLS
 
Wakuu tuhamieni kwenye EFOOTBALL pes huku ndio kuna ubora wa game la mpira..[emoji91][emoji91]
 
Upo vizuri sana na unauzoefu wa DLS
Hili gemu ndio ugonjwa wangu miaka ya nyuma nilikuwa bingwa sana hadi nikajiita Master wa Dream League kwa kuona siwezekani kushindwa ikapita miaka kama miwili na nusu sijacheza mpaka nimerudi tena mwaka huu na hili DLS jipya ila sasa nafungika vizuri tu na wakati mwengine namaliza msimu trophyles nipo legendary division lakini kila msimu ninao chukua ligi international sitoboi naishia stage ya mabara.
 
Game lipi la mpira unaeza tumia zaidi ya dakika 30 unakipiga?
 
Na kwa taarifa update ijayo game itakuwa ngumu sana
 
Hakuna kitu kama hicho kwa sababu Smart zinamambo mengi na ndio maana dk 3-5 kwa mobile games ni mda tosha.
Nb; football ni game ya mission ndefu sana mfano dk 30 mara 15 games
 
Na kwa taarifa update ijayo game itakuwa ngumu sana
Itapendeza sana mimi ninachokipenda DLS company kila siku wanaongoza ubunifu na vitu vipya na ndio maana wameteka soko kwa muda mchache bila promo kubwa mtu unajikuta automatic unamhadithia mwenzio tu.
 
Kwa sasa ni game linalochezwa zaidi duniani kwa upande wa football
 
Hili gemu ndio ugonjwa wangu miaka ya nyuma nilikuwa bingwa sana hadi nikajiita Master wa Dream League kwa kuona siwezekani kushindwa ikapita miaka kama miwili na nusu sijacheza mpaka nimerudi tena mwaka huu na hili DLS jipya ila sasa nafungika vizuri tu na wakati mwengine namaliza msimu trophyles nipo legendary division lakini kila msimu ninao chukua ligi international sitoboi naishia stage ya mabara.
Hata mimi hasa DLS 19
Lilikuwa ugonjwa wangu yani ilikuwa ni onfire[emoji91], nilikuwa namaliza league ndani ya siku moja
 
Back
Top Bottom