Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
- Thread starter
- #381
Oya nipo online
mda huuumefanyaje kupata hao wachezaji mzee[emoji15][emoji15]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mda huuumefanyaje kupata hao wachezaji mzee[emoji15][emoji15]
Upo vizuri sana na unauzoefu wa DLSUnaingia sokoni mchawi mpunga wa kutosha na ili upate inatakiwa uongeze ukubwa wa uwanja zikija options za kuwatch video unwatch ili coins ziongekeze.
Kwenye usajili DLS 22 unaingia sehemu ya transfer utaona wachezaji wapo sokoni ila mara nyingi wanakuja vibonde labda kidogo uwe ligi za juu ndio unawekewa mchezaji mzuri kwenye transfer list ya wachezaji.Sasa mbinu nzuri ya kumpata mchezaji wa kiwango tumia scout View attachment 2291074
Kisha chagua skauti wa mwishoni ambaye dau lake ni coin 500 na mchezaji anyemleta ni kuanzia coin 1500 -2000 sasa ukitaka kupata mchezaji wa uhakika Ingia sokoni na hela kuanzia 2000Coin View attachment 2291082
Nb :Njia nyingine kila baada ya mechi pitia sokoni unaweza kuta mchezaji mzuri wamemuweka hivyo unamdaka chap bila kumpa hela skauti .
DLS lina utamu wakeWakuu tuhamieni kwenye EFOOTBALL pes huku ndio kuna ubora wa game la mpira..[emoji91][emoji91]
Sasa itakuwa 2:30Mda unaopanga sio mzuri sana saa 3 usiku walau iwe saa 2 au saa 2 na nusu
Hili gemu ndio ugonjwa wangu miaka ya nyuma nilikuwa bingwa sana hadi nikajiita Master wa Dream League kwa kuona siwezekani kushindwa ikapita miaka kama miwili na nusu sijacheza mpaka nimerudi tena mwaka huu na hili DLS jipya ila sasa nafungika vizuri tu na wakati mwengine namaliza msimu trophyles nipo legendary division lakini kila msimu ninao chukua ligi international sitoboi naishia stage ya mabara.Upo vizuri sana na unauzoefu wa DLS
Na kwa taarifa update ijayo game itakuwa ngumu sanaHili gemu ndio ugonjwa wangu miaka ya nyuma nilikuwa bingwa sana hadi nikajiita Master wa Dream League kwa kuona siwezekani kushindwa ikapita miaka kama miwili na nusu sijacheza mpaka nimerudi tena mwaka huu na hili DLS jipya ila sasa nafungika vizuri tu na wakati mwengine namaliza msimu trophyles nipo legendary division lakini kila msimu ninao chukua ligi international sitoboi naishia stage ya mabara.
Tuta test huyo saa 2 na nusu kama mtandao utakuwa freshiSasa itakuwa 2:30
Hakuna kitu kama hicho kwa sababu Smart zinamambo mengi na ndio maana dk 3-5 kwa mobile games ni mda tosha.Game lipi la mpira unaeza tumia zaidi ya dakika 30 unakipiga?
Itapendeza sana mimi ninachokipenda DLS company kila siku wanaongoza ubunifu na vitu vipya na ndio maana wameteka soko kwa muda mchache bila promo kubwa mtu unajikuta automatic unamhadithia mwenzio tu.Na kwa taarifa update ijayo game itakuwa ngumu sana
Kwa sasa ni game linalochezwa zaidi duniani kwa upande wa footballItapendeza sana mimi ninachokipenda DLS company kila siku wanaongoza ubunifu na vitu vipya na ndio maana wameteka soko kwa muda mchache bila promo kubwa mtu unajikuta automatic unamhadithia mwenzio tu.
Poa 2 :30 panapo majaaliwaTuta test huyo saa 2 na nusu kama mtandao utakuwa freshi
Poa 2 :30 panapo majaaliwa
Tufanye saa 3 bado cjala bado cjaogaSasa kama una muda tuplay Frustration
Poa itapendeza zaidi.Tufanye saa 3 bado cjala bado cjaoga
PoaPoa itapendeza zaidi.
Unamaanisha ndani ya match moja au?Game lipi la mpira unaeza tumia zaidi ya dakika 30 unakipiga?
Hata mimi hasa DLS 19Hili gemu ndio ugonjwa wangu miaka ya nyuma nilikuwa bingwa sana hadi nikajiita Master wa Dream League kwa kuona siwezekani kushindwa ikapita miaka kama miwili na nusu sijacheza mpaka nimerudi tena mwaka huu na hili DLS jipya ila sasa nafungika vizuri tu na wakati mwengine namaliza msimu trophyles nipo legendary division lakini kila msimu ninao chukua ligi international sitoboi naishia stage ya mabara.