Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
- Thread starter
- #421
Mtandao unasumbua na nitasajiri vodaTwende tena mpk 49 mwisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtandao unasumbua na nitasajiri vodaTwende tena mpk 49 mwisho
Tigo 4G bora uweke 3G. Kesho nasajiri vodacom ili niwe nakufundisha football ila unakikosi kizuriVoda ndio mpango mzima haswa ukiupdate iwe ya 4G Tigo wakati mwingine hata mchana inanizingua .
Kwa jinsi mtandao wako ulivyo inabidi online usicheze usiku uwe una cheza mchana tu.
Mimi mpira wangu kaunta na mbio namtafuta wachezaji watatu niwe na kosi la Dunia.Tigo 4G bora uweke 3G. Kesho nasajiri vodacom ili niwe nakufundisha football ila unakikosi kizuri
Mbele umemuweka Neyma hatari sanaMimi mpira wangu kaunta na mbio namtafuta wachezaji watatu niwe na kosi la Dunia.
Unapiga mpira mzuri wa mipango na pasi za uhakika ukiwa na kikosi kamili utasumbua sana.
Mpango wangu mpya ni kujaza nguvu kikosi maana wakati mwingine mimi na kikosi changu na kutana na mtu ana mastar lakini wana power kuanzia 95 wote hapo inakuwa Kazi kumfunga.Tigo 4G bora uweke 3G. Kesho nasajiri vodacom ili niwe nakufundisha football ila unakikosi kizuri
Mm nili restore simu na nimemsajiri Benzema tu tena kama captain. Usajiri wangu mkubwa ni Payet tu ila nitakijenga na utapigika sana na counter zako hizoMpango wangu mpya ni kujaza nguvu kikosi maana wakati mwingine mimi na kikosi changu na kutana na mtu ana mastar lakini wana power kuanzia 95 wote hapo inakuwa Kazi kumfunga.
Kutokana na mtandao event sishiriki kwa sababu ya internet kufeli mara kwa mara ila nazitamani sanaSasa hivi kuna event mpya inaendelea nataka kushiriki Kesho panapo majaliwa nifike final mpaka kuchukua Kombe.
Kaunta zimeniathiri sana mpk nacheza mpira mbovu ziwezi kutumia mfumo mwengine ila kwa vile ushindi napata kaunta itaendelea kutamba.Mm nili restore simu na nimemsajiri Benzema tu tena kama captain. Usajiri wangu mkubwa ni Payet tu ila nitakijenga na utapigika sana na counter zako hizo
Kipindi nipo Tigo na Halotel nilikuwa navizia jioni mchana au asubuhi nikiwa free usiku naogopa kuuza mechi.Kutokana na mtandao event sishiriki kwa sababu ya internet kufeli mara kwa mara ila nazitamani sana
😂😂😂😂😂😂😂 saizi mtandao hadi jf inasumbuaKipindi nipo Tigo na Halotel nilikuwa navizia jioni mchana au asubuhi nikiwa free usiku naogopa kuuza mechi.
Man u pia alinifunga penaltyKuna jamaa anajiita klop kama wewe ina ya double P anatisha vibaya na mwengine timu yake Manchester United nayeye ni mkali sana
Te te te inaonyesha bado sana kucheza game hii Anza tena academy ili upate uzoefuNimepigwa vibaya sanaView attachment 2294627
Mm ila mtandao wa tigo unasumbua, tujaribu?Nani yupo online?
De Bruyne mbona amechangamka sana,wamchongo nini?Nimepigwa vibaya sanaView attachment 2294627
Nipe codeMm ila mtandao wa tigo unasumbua, tujaribu?