Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Voda ndio mpango mzima haswa ukiupdate iwe ya 4G Tigo wakati mwingine hata mchana inanizingua .

Kwa jinsi mtandao wako ulivyo inabidi online usicheze usiku uwe una cheza mchana tu.
Tigo 4G bora uweke 3G. Kesho nasajiri vodacom ili niwe nakufundisha football ila unakikosi kizuri
 
Mimi mpira wangu kaunta na mbio namtafuta wachezaji watatu niwe na kosi la Dunia.

Unapiga mpira mzuri wa mipango na pasi za uhakika ukiwa na kikosi kamili utasumbua sana.
 
Mbele umemuweka Neyma hatari sana
 
Tigo 4G bora uweke 3G. Kesho nasajiri vodacom ili niwe nakufundisha football ila unakikosi kizuri
Mpango wangu mpya ni kujaza nguvu kikosi maana wakati mwingine mimi na kikosi changu na kutana na mtu ana mastar lakini wana power kuanzia 95 wote hapo inakuwa Kazi kumfunga.
 
Mm nili restore simu na nimemsajiri Benzema tu tena kama captain. Usajiri wangu mkubwa ni Payet tu ila nitakijenga na utapigika sana na counter zako hizo
 
Sasa hivi kuna event mpya inaendelea nataka kushiriki Kesho panapo majaliwa nifike final mpaka kuchukua Kombe.
 
Kutokana na mtandao event sishiriki kwa sababu ya internet kufeli mara kwa mara ila nazitamani sana
 
Mm nili restore simu na nimemsajiri Benzema tu tena kama captain. Usajiri wangu mkubwa ni Payet tu ila nitakijenga na utapigika sana na counter zako hizo
Kaunta zimeniathiri sana mpk nacheza mpira mbovu ziwezi kutumia mfumo mwengine ila kwa vile ushindi napata kaunta itaendelea kutamba.

Nikifungwa na mtu hapa Jf nitaomba Moderator anipe ban ya wiki najiamini kama master asiyefungika.
 
Leo nimekukosa padogo sana
 
Kutokana na mtandao event sishiriki kwa sababu ya internet kufeli mara kwa mara ila nazitamani sana
Kipindi nipo Tigo na Halotel nilikuwa navizia jioni mchana au asubuhi nikiwa free usiku naogopa kuuza mechi.
 
Kuna jamaa anajiita klop kama wewe ina ya double P anatisha vibaya na mwengine timu yake Manchester United nayeye ni mkali sana
 
Kipindi nipo Tigo na Halotel nilikuwa navizia jioni mchana au asubuhi nikiwa free usiku naogopa kuuza mechi.
😂😂😂😂😂😂😂 saizi mtandao hadi jf inasumbua
 
Nimepigwa vibaya sana
Screenshot_2022-07-17-22-49-11-79.png
 
Back
Top Bottom