ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo chap
Tena kidogo wewe utaleta upinzani ila ukikaidi utapigwa2
Mimi hata nikiwa na kikosi cha academy division wewe una world class players utoboi 😆😆😂Haa sawa sema saizi mtandao unasumbua ningekuonyesha namna ya kuwa mpole wa maneno yaani kwa lugha nyepesi ni kukushikisha adabu
Mlicheza?Mimi hata nikiwa na kikosi cha academy division wewe una world class players utoboi 😆😆😂
Leteni matokeo
Jina lake na yeye mwenyewe mikwara mingi lakini kaogopa kikutana na master .Mlicheza?
Hakutokea.Leteni matokeo
Hilo la mwaka gani unacheza mkuuFrustration nicheki Master ninavyoupiga mwingi yaani nimezidiwa possession kwa asilimia kubwa lakini mtu kafungwa kwa kaunta zangu matata na nimetinga robo fainali.Na alikuwa anakula nyingi maana nimepiga ontarget 4View attachment 2311644View attachment 2311647
2022Hilo la mwaka gani unacheza mkuu
Ww usijali one day sana tuBando langu la mwezi limekata njiani sasa nipo utawala wa Freebasic natamani siku niplay na mwana Jf humu ila kila nikiwa tayari watu hawapo tayari.
Nilikuwa kwenye online events fainali nikakutana na timu kali sana kpnd cha kwnz tukatoka mojamoja nikatoka kuchukua screenshot ya statistics ikajizima bahati mbaya na Kombe nikakosa kizembe kwa hasira nimejiona likizo ya siku 5 mpk J5 nitarudi tena kuwafundisha watu gemu.Ww
Ww usijali one day sana tu
Hapa sasa hivi nimenunua uwanja wa legendary kwa hiyo kazi iliyobaki ni players tu. Nitanunua wachezaji wazuri na ni hatari sana nitakuwaNilikuwa kwenye online events fainali nikakutana na timu kali sana kpnd cha kwnz tukatoka mojamoja nikatoka kuchukua screenshot ya statistics ikajizima bahati mbaya na Kombe nikakosa kizembe kwa hasira nimejiona likizo ya siku 5 mpk J5 nitarudi tena kuwafundisha watu gemu.
Wewe hata uwe na kikosi cha Dunia sahau kunifunga.
Hii mechi fainali iliniuma sana kulose bila kucheza kipindi cha piliHapa sasa hivi nimenunua uwanja wa legendary kwa hiyo kazi iliyobaki ni players tu. Nitanunua wachezaji wazuri na ni hatari sana nitakuwa
Nitakutafuta mkuu adriz nikufundishe sokaHii formula ya kudefense na kupiga counter huwa hachomoki mtu na naitumia ninapocheza online events maana nakutanaga na timu zenye wavmchezaji wakubwa na wachezaji wenye power kuanzia 90 wengi .View attachment 2317857
Hii mechi fainali iliniuma sana kulose bila kucheza kipindi
Ilikuwa moja ya mechi kali tokea nianze kucheza events hata mwenyewe alikubali kaunta yaani ilikua piga nikupige hata filimbi ya half time kila mtu alitamani gemu iendelee.Kwa hiyoj unaamini ungeshinda?