Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Tupo tunasubir results hapa[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kapigwa mpk kachakaa
Screenshot_20220810_074936.jpg
 
adriz umepandisha hadi kisukari
Mimi ni Master wa gemu hili mechi ya kwanza huwa nasoma mchezo kinachofuata ni mafataki tu sina huruma.

Jamaa kila mechi lazima ale redcard na bila kucheza rafu mara kea mara asingetoboa hata gemu moja na angepigwa nyingi zisizo na idadi.
Screenshot_20220810_074936.jpg
Screenshot_20220810_074138.jpg
 
Alie tiyari twende code Innovator
Jamaa wewe unajua mpira tofauti na Fene au @Frustation japo una kikosi kidogo unacheza soka la ufundi mno kama Bayern ya Pep na ukiboresha kikosi kidogo utakuja kuwa mrithi wangu wa cheo cha Umaster humu.
 
Hahaha ngoja nisajili mapro sasa
 
Kesho kuna event inaanzia chama langu Napoli lipo nitaweka screenshot ya ubingwa panapo majaaliwa maana huwa siaachagi events kama hizi .
IMG_20220810_213436.jpg
 
Back
Top Bottom