privacy
JF-Expert Member
- Apr 20, 2014
- 1,446
- 1,281
Mda wowote ule nitag hapa na wewe uwe katika list ya waliochezea vichapo humu au kukimbia gemu kama privacy hakutokea tena baada ya kucheza mechi tatu na mimi kumfunga mmoja ya mwisho .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..!!! Sawa sawa leo vipi utataka jaribu kufuta uteja?? fanya zoezi vizuri kisha narudi humu maana yawezekana kwenye hizo mechi tatu hata hiyo moja usiambulie zamu hii