Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Nime update hii ya 2023 kiukweli wachezaji wangu wazito sio kama nlivokua nacheza mara ya kwanza, game limekua la tofaut jipya kabsa silielew
 
Backline yangu ndo hiyo mkuu, na kwenye sub hapo juu, na matip pia ninae je hawatoshi? Hakimi namuonaga ila nampuuziaga kumsajili naonaga kama kikosi kinatosha, nikimuona tena nitamsajili ila accomodation yangu ishajaa lazima nipunguze beki m1 sasa kwa uzoefu wako kati ya hao beki zangu yupi kilaza ampishe Hakimi?
Duuh hizi coin zote uliwezaje kufikisha aiseee
 
Hizo mkuu baada ya mechi huwa naangalia highlights ambapo nikiangalia highlights nakuta coin wamezidouble na zile za ushindi, magoli bonus za uwanja etc baada ya hapo naziclaim (kwa kuangalia tangazo) najikuta mzigo unaongezeka mara mbili zaidi. Ila hizo zilifika hapo kwasababu Nilizichanga ili nijenge uwanja (ukijenga uwanja na bonus zinaongezeka mwisho wa mechi) ila Tatizo linanikutaga nikishachanga kwenye transfer akatokea mchezaji stats zake nikazielewa najikuta nishamnunua zoezi la uwanja nalisitisha😄
 
Kweli wame
Hili la 2023 mbona lipo slow sana
kweli wachezaji wamekuwa hawana speed ila wamesahihisha makosa mengi, kama kadi za ovyo ovyo, mchezaji kuwa kama anavutwa wkt wa kukaba n.k bora hili kuliko 2022
 
Hizo mkuu baada ya mechi huwa naangalia highlights ambapo nikiangalia highlights nakuta coin wamezidouble na zile za ushindi, magoli bonus za uwanja etc baada ya hapo naziclaim (kwa kuangalia tangazo) najikuta mzigo unaongezeka mara mbili zaidi. Ila hizo zilifika hapo kwasababu Nilizichanga ili nijenge uwanja (ukijenga uwanja na bonus zinaongezeka mwisho wa mechi) ila Tatizo linanikutaga nikishachanga kwenye transfer akatokea mchezaji stats zake nikazielewa najikuta nishamnunua zoezi la uwanja nalisitisha[emoji1]
Umetisha ngoja namimi nijitahidi Sina uzoefu sana na hili game ila ni litamu sana
 
Kweli wame

kweli wachezaji wamekuwa hawana speed ila wamesahihisha makosa mengi, kama kadi za ovyo ovyo, mchezaji kuwa kama anavutwa wkt wa kukaba n.k bora hili kuliko 2022
wanalifanyia kazi tatizo hili soon tunapata update
 
Hizo mkuu baada ya mechi huwa naangalia highlights ambapo nikiangalia highlights nakuta coin wamezidouble na zile za ushindi, magoli bonus za uwanja etc baada ya hapo naziclaim (kwa kuangalia tangazo) najikuta mzigo unaongezeka mara mbili zaidi. Ila hizo zilifika hapo kwasababu Nilizichanga ili nijenge uwanja (ukijenga uwanja na bonus zinaongezeka mwisho wa mechi) ila Tatizo linanikutaga nikishachanga kwenye transfer akatokea mchezaji stats zake nikazielewa najikuta nishamnunua zoezi la uwanja nalisitisha😄
hahahaha upo division gani
 
Nime update hii ya 2023 kiukweli wachezaji wangu wazito sio kama nlivokua nacheza mara ya kwanza, game limekua la tofaut jipya kabsa silielew
usisahau kuenda kupunguza ubora wa graphics ili kuendana na uwezo wa simu yako
 
Kweli wame

kweli wachezaji wamekuwa hawana speed ila wamesahihisha makosa mengi, kama kadi ovyo ovyo, mchezaji kuwa kama anavutwa wkt wa kukaba n.k bora hili kuliko 20

Nime update hii ya 2023 kiukweli wachezaji wangu wazito sio kama nlivokua nacheza mara ya kwanza, game limekua la tofaut jipya kabsa silielew
usisahau kuenda kupunguza ubora wa graphics ili kuendana na uwezo wa simu yako
 
Wakuu jana nimekutana mwamba anajiita Mamba Fc, jamaa kanichapa 4-1 ila tatizo Christiano Ronaldo wake alikuwa hakabiki, akachukua man of the match kumcheki stats zake kwenye shooting na passing ana 100%, hii inawezekana vp mbona mimi kila nikitumia "coaches" wangu mchezaji anafikia "breakthrough" mapema tuu kabla stats zake hazijafika 100%???
 
Mfamle wa huu uzi anayebisha she sasa hivi apate kichapo...
Screenshot_20221229_232412.jpg

Fene nimemchapa kichapo cha kihistoria kuwahi kutokea jukwaani humu
Screenshot_20221229_225231.jpg
 
Wakuu jana nimekutana mwamba anajiita Mamba Fc, jamaa kanichapa 4-1 ila tatizo Christiano Ronaldo wake alikuwa hakabiki, akachukua man of the match kumcheki stats zake kwenye shooting na passing ana 100%, hii inawezekana vp mbona mimi kila nikitumia "coaches" wangu mchezaji anafikia "breakthrough" mapema tuu kabla stats zake hazijafika 100%???
Master nimekuja nitakupa muongozo wa kiwajaza wachezaji na hata ukutane na wachezaji kama hao na wewe ukiwa na kikosi dhaifu ila ukiwa na mbinu zangu no easy sana kutubia kea yeyote yule kama mimi ninavyofanya.
 
Back
Top Bottom