Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,971
- 4,085
Me nilishabeba had hiyo legendaryngoja ucheze legendary uone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me nilishabeba had hiyo legendaryngoja ucheze legendary uone
Unaongeza vipi muda maana dkk ni chache sana WakuuMe nilishabeba had hiyo legendary
Duuh hizi coin zote uliwezaje kufikisha aiseeeBackline yangu ndo hiyo mkuu, na kwenye sub hapo juu, na matip pia ninae je hawatoshi? Hakimi namuonaga ila nampuuziaga kumsajili naonaga kama kikosi kinatosha, nikimuona tena nitamsajili ila accomodation yangu ishajaa lazima nipunguze beki m1 sasa kwa uzoefu wako kati ya hao beki zangu yupi kilaza ampishe Hakimi?
Hizo mkuu baada ya mechi huwa naangalia highlights ambapo nikiangalia highlights nakuta coin wamezidouble na zile za ushindi, magoli bonus za uwanja etc baada ya hapo naziclaim (kwa kuangalia tangazo) najikuta mzigo unaongezeka mara mbili zaidi. Ila hizo zilifika hapo kwasababu Nilizichanga ili nijenge uwanja (ukijenga uwanja na bonus zinaongezeka mwisho wa mechi) ila Tatizo linanikutaga nikishachanga kwenye transfer akatokea mchezaji stats zake nikazielewa najikuta nishamnunua zoezi la uwanja nalisitisha😄Duuh hizi coin zote uliwezaje kufikisha aiseee
kweli wachezaji wamekuwa hawana speed ila wamesahihisha makosa mengi, kama kadi za ovyo ovyo, mchezaji kuwa kama anavutwa wkt wa kukaba n.k bora hili kuliko 2022Hili la 2023 mbona lipo slow sana
Umetisha ngoja namimi nijitahidi Sina uzoefu sana na hili game ila ni litamu sanaHizo mkuu baada ya mechi huwa naangalia highlights ambapo nikiangalia highlights nakuta coin wamezidouble na zile za ushindi, magoli bonus za uwanja etc baada ya hapo naziclaim (kwa kuangalia tangazo) najikuta mzigo unaongezeka mara mbili zaidi. Ila hizo zilifika hapo kwasababu Nilizichanga ili nijenge uwanja (ukijenga uwanja na bonus zinaongezeka mwisho wa mechi) ila Tatizo linanikutaga nikishachanga kwenye transfer akatokea mchezaji stats zake nikazielewa najikuta nishamnunua zoezi la uwanja nalisitisha[emoji1]
Nimeshaliweka sawa naona limekua tamu sanaKweli wame
kweli wachezaji wamekuwa hawana speed ila wamesahihisha makosa mengi, kama kadi za ovyo ovyo, mchezaji kuwa kama anavutwa wkt wa kukaba n.k bora hili kuliko 2022
Kila ninapokuwa free usiku huwa nalicheza lipo addictive sana.Umetisha ngoja namimi nijitahidi Sina uzoefu sana na hili game ila ni litamu sana
unabeba ila kuna game unapoteza hasa mashindano mengineMe nilishabeba had hiyo legendary
wanalifanyia kazi tatizo hili soon tunapata updateKweli wame
kweli wachezaji wamekuwa hawana speed ila wamesahihisha makosa mengi, kama kadi za ovyo ovyo, mchezaji kuwa kama anavutwa wkt wa kukaba n.k bora hili kuliko 2022
hahahaha upo division ganiHizo mkuu baada ya mechi huwa naangalia highlights ambapo nikiangalia highlights nakuta coin wamezidouble na zile za ushindi, magoli bonus za uwanja etc baada ya hapo naziclaim (kwa kuangalia tangazo) najikuta mzigo unaongezeka mara mbili zaidi. Ila hizo zilifika hapo kwasababu Nilizichanga ili nijenge uwanja (ukijenga uwanja na bonus zinaongezeka mwisho wa mechi) ila Tatizo linanikutaga nikishachanga kwenye transfer akatokea mchezaji stats zake nikazielewa najikuta nishamnunua zoezi la uwanja nalisitisha😄
usisahau kuenda kupunguza ubora wa graphics ili kuendana na uwezo wa simu yakoNime update hii ya 2023 kiukweli wachezaji wangu wazito sio kama nlivokua nacheza mara ya kwanza, game limekua la tofaut jipya kabsa silielew
Kweli wame
kweli wachezaji wamekuwa hawana speed ila wamesahihisha makosa mengi, kama kadi ovyo ovyo, mchezaji kuwa kama anavutwa wkt wa kukaba n.k bora hili kuliko 20
usisahau kuenda kupunguza ubora wa graphics ili kuendana na uwezo wa simu yakoNime update hii ya 2023 kiukweli wachezaji wangu wazito sio kama nlivokua nacheza mara ya kwanza, game limekua la tofaut jipya kabsa silielew
Sasa hivi nipo legendary na yenyewe naona kawaida tuu, ugumu nauonaga kwenye online matches na yenyewe ni kwasababu ya internethahahaha upo division gani
Master nimekuja nitakupa muongozo wa kiwajaza wachezaji na hata ukutane na wachezaji kama hao na wewe ukiwa na kikosi dhaifu ila ukiwa na mbinu zangu no easy sana kutubia kea yeyote yule kama mimi ninavyofanya.Wakuu jana nimekutana mwamba anajiita Mamba Fc, jamaa kanichapa 4-1 ila tatizo Christiano Ronaldo wake alikuwa hakabiki, akachukua man of the match kumcheki stats zake kwenye shooting na passing ana 100%, hii inawezekana vp mbona mimi kila nikitumia "coaches" wangu mchezaji anafikia "breakthrough" mapema tuu kabla stats zake hazijafika 100%???